LordMasele III JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 300 Reaction score 266 Apr 17, 2025 Thread starter #21 Nzagambaaa said: Muungula mkuu,utanishukru.pale Kati pamejaa sana competition kubwa ya wateja. Click to expand... Shukrani sana mkuu.
Nzagambaaa said: Muungula mkuu,utanishukru.pale Kati pamejaa sana competition kubwa ya wateja. Click to expand... Shukrani sana mkuu.
LordMasele III JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 300 Reaction score 266 Apr 17, 2025 Thread starter #22 holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri
holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,072 Reaction score 13,193 Apr 17, 2025 #23 holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Kahama kuna Nyakato?
holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Kahama kuna Nyakato?
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,703 Reaction score 19,589 Apr 17, 2025 #24 Mpwimbe said: Kahama kuna Nyakato? Click to expand... yes
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,603 Reaction score 11,321 Apr 17, 2025 #25 LordMasele III said: Viatu vya special. Eneo liwe Kahama mjini. Fremu isizidi laki moja kwa mwezi mkuu. Click to expand... Mmh mtaji wako??? Una mpango wa kuuza jumla au reja reja au vyote kwa pamoja. Viatu unauza jinsia moja au unachanganya.
LordMasele III said: Viatu vya special. Eneo liwe Kahama mjini. Fremu isizidi laki moja kwa mwezi mkuu. Click to expand... Mmh mtaji wako??? Una mpango wa kuuza jumla au reja reja au vyote kwa pamoja. Viatu unauza jinsia moja au unachanganya.
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,603 Reaction score 11,321 Apr 17, 2025 #26 holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Kwan nini abadili kila mtu anafanya awezacho.
holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... Kwan nini abadili kila mtu anafanya awezacho.
N NYAGI DRY JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 419 Reaction score 218 Apr 17, 2025 #27 holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... 🤣🤣 umetisha sana
holoholo said: Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru. Click to expand... 🤣🤣 umetisha sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,877 Apr 18, 2025 #28 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
LordMasele III JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 300 Reaction score 266 Apr 18, 2025 Thread starter #29 The Eric said: Mmh mtaji wako??? Una mpango wa kuuza jumla au reja reja au vyote kwa pamoja. Viatu unauza jinsia moja au unachanganya. Click to expand... Seth saint said: Mitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu
The Eric said: Mmh mtaji wako??? Una mpango wa kuuza jumla au reja reja au vyote kwa pamoja. Viatu unauza jinsia moja au unachanganya. Click to expand... Seth saint said: Mitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,603 Reaction score 11,321 Apr 19, 2025 #30 Seth saint said: Mitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo Click to expand... Mkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja.
Seth saint said: Mitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo Click to expand... Mkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja.
Seth saint JF-Expert Member Joined Oct 27, 2020 Posts 2,157 Reaction score 5,560 Apr 19, 2025 #31 The Eric said: Mkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja. Click to expand... Yeah CDT watu ni wengi mitaa hiyo plus kuna stendi ya magari kwa pilika ni nyingi
The Eric said: Mkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja. Click to expand... Yeah CDT watu ni wengi mitaa hiyo plus kuna stendi ya magari kwa pilika ni nyingi