Site ya Air Tanzania haifunguki, msaada

Hawajielewi hao..wanasubiria amri kutoka magogoni ndio wajue kuwa kuna shida.

666
 
Inafunguka. Mimi jana nimefanya booking bila shida!
 
nimefungua leo, nataka kwenda tabora nimeona bei yao kubwa na inaondoka mchana nimebook PW via kahama, pangaboi ni via dodoma,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…