Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Kuna umri ukifika ...utaelewa haya yoote uliyoandika si kitu............oa kijana oaa...
 
Hivi unadhani maisha mazuri ni pesa pekee, fikiria hao wazaz unaosema watafaidi kisa kutooa wangeamua hayo ungezaliwa pamoja na hao wadogo zako!!!!!!?????? La hasha.
Maisha mazuri ni pamoja na unavyo yapangilia na kutaka yawaje kuishi tofauti na upendavyo ni stress tuu sasa ya nini akati nateseka sana kusana pesa
 
Jitahidi upige mimba nje,afu uwe unahudumia mtoto..
Kuoa ni fasheni iliyopitwa na wakati,na ni usumbufu tu,
juzi babu wa watu mgabe amezabwa kofi na mkewe.
Sasa kumbe hata umpe kila kitu,bado mtagombana tu.

Mi maisha ya stress nilishayakataa
Exactly chief kweli kabisa
 
Una maamuzi magumu sana,Pia inawezekana ikawa ni pepo au jini kisirani ndugu jaribu kufikiri tena mara mbili.
 
I see ur highly disturbed mentally,maumivu mkabidhi Mungu muombe yeye akupe wa kufanana na wewe mana aliona si vyema mwanaume ukabaki mwenyewe atakufanyia msaidizi wa kuishi nae
U need to accept hard times ni sehemu ya maisha,ukikosa leo utapata kesho,hakuna binadamu mwenye maisha ya furaha kila saa kila mtu anapambana kujitahidi,Usikate tamaa usikubali kushindwa,there's more to life
Kwa misimamo hii huchelewi kujiua siku wife akicheat badala utulie tu kwani aliekula anaondoka nayo???anyway ts a matter of choices
 
Maisha mazuri ni pamoja na unavyo yapangilia na kutaka yawaje kuishi tofauti na upendavyo ni stress tuu sasa ya nini akati nateseka sana kusana pesa
U can't fight nature
 
Hapa duniani kila unaliwaza, kutenda au kutendwa wewe si wakwanza. Binamu yangu alitamka maneno hayo unayoyasema, alikuja kukutana na binti mmoja aliyeweza kuchanganya ubongo wake. Wote tulibaki midomo wazi binamu alivyoanza kumsomesha yule binti, kujitambulisha kwao, alimgharamia mahitaji yake yote. Kila la kheri.
 
Mim binafsi nimemuelewa jamaa...!hili wazo lake ni machungu ya kuumizwa na mapenzi....!Japo hela si kila kitu..ukiishi kwa jinsi ya iman yako ..namaanisha vitu unavoviamin vitakufurahisha na kukupa amani ni sawa...kila la kheri mkuu
 
Pole sana mkuu....ila sina uhakika kama utaweza kua na haya mawazo kwa miaka 5 ijayo...
Nakutakia kila la kheri mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…