Sitatembea nae tena

Sitatembea nae tena

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
733
Baada ya mwezi mmoja wa kazi mama mwenye nyumba akamweka chini housegirl ili kutathmini utendaji wa kazi, kumfunda na kisha mshahara
Mama: Utendaji wako wa kazi ni mzuri, ila usijekuwa kama wenzako kutembea na baba yako. Siku nikigundua umetembea nae nakuua nakwambia, sawa?
Housegirl: Sawa mama, sitatembea nae tena...
 
Amepata yani kama ni mtihani ni mia kwa mia na vere gud juu..!!
 
Mamaaaaa weeeee hapo lazima apelekwe hospitali:::::
 
aaaaaaaahhh!!!! housegirl yuko sahihi kabisa,hatatembea na baba tena barabaraniiiiii!!!! te te te te ete !!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom