Sitashiriki kampeni kwa aina ya wagombea tulionao

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,140
Reaction score
47,482
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!

Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!

Kesho kama kawaida

Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa

Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu

TUSIMCHUKIZE MUNGU

Britanicca
 
Matatizo ya watanzania ni yaleyale ila ubunifu mpya katika kuyatatua ndio unahitajika. Madam mgombea amekuja kivingine.

Mgombea ni halali kwa sababu utaratibu wa kumpata ulifuatwa na kwa kuwa katiba ya Chama haijafunga mchakato unatakiwa kuwa vipi basi mchakato ulifuatwa.
 
Kampeni ndani ya kampeni .
 
Kama ni yale yale na alikuwepo sio mpya, kwanini anasema apewe siku 100 baada ya kuchaguliwa kutatua matatizo kama kuzuiwa maiti katika hospital, kama sio utapeli tuitaje?
 
Ndio maana nimesema madam mgombea amekuja kivingine kuyatatua
 
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!

Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!

Kesho kama kawaida

Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa

Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu

TUSIMCHUKIZE MUNGU

Britanicca
Mchengerwa ndo anayelipia kikosi cha utekaji ..Yeye hataki ma mkwe aguswe
Mchengerwa, Abdul , Hafidhi, Mafwele na Homera ndo wenye genge la watekaji.
 
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!

Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!

Kesho kama kawaida

Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa

Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu

TUSIMCHUKIZE MUNGU

Britanicca
Mzee Wasira alisashasema Wanung'unikaji hamuwezi Isha
 
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!

Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!

Kesho kama kawaida

Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa

Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu

TUSIMCHUKIZE MUNGU

Britanicca
Shopping list!
 
Back
Top Bottom