D Denny Cleophace Member Joined Sep 8, 2014 Posts 39 Reaction score 6 Sep 12, 2014 #1 sitasahau nilipo kuwa la7 sikumoja kabla ya mitihani kuanza nikaumwa kuendesha...; we nae tupia yako tuone...
sitasahau nilipo kuwa la7 sikumoja kabla ya mitihani kuanza nikaumwa kuendesha...; we nae tupia yako tuone...
L Luis david Member Joined Jan 18, 2014 Posts 21 Reaction score 7 Sep 13, 2014 #2 Sitasahau siku ya mahafali ya darasa la saba niliumwa kuanzia asbuh,mda wa mahafal ulipomalzka nam nkapata ahuen.dah nilihis mkono wa mtu
Sitasahau siku ya mahafali ya darasa la saba niliumwa kuanzia asbuh,mda wa mahafal ulipomalzka nam nkapata ahuen.dah nilihis mkono wa mtu
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Sep 13, 2014 #3 Sitasahau kuingia jukwaa la jokes nakuta thread inasema eti mtu mmoja siku ya mtihani badala ya kufanya mtihani yeye kachukua gari ya msimamizi akanza kuendesha!
Sitasahau kuingia jukwaa la jokes nakuta thread inasema eti mtu mmoja siku ya mtihani badala ya kufanya mtihani yeye kachukua gari ya msimamizi akanza kuendesha!
R Rais wa wakurya Senior Member Joined Sep 9, 2014 Posts 104 Reaction score 31 Sep 13, 2014 #4 Nimesahau
M Mapambano kag Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 117 Reaction score 26 Sep 14, 2014 #5 stasahau kusahau
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Sep 14, 2014 #6 Sitasahau siku ya leo jinsi nilivyosahau!
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,891 Reaction score 5,063 Sep 18, 2014 #7 Sitasahau siku yesu alvyopaa kwenda mbinguni
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,045 Reaction score 12,540 Sep 20, 2014 #8 mtena said: Sitasahau siku yesu alvyopaa kwenda mbinguni Click to expand... ulikuwepo?
Dallah Member Joined Sep 12, 2014 Posts 19 Reaction score 12 Sep 20, 2014 #9 Sitasahau kunguru alivyoninyea nikiwa na mchumba
G bznes JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 1,429 Reaction score 2,966 Sep 20, 2014 #10 Sitasahau siku bunge la sisiem lilivyo lazimisha wapatie nchi katiba yao ya chama
sinda hasan Member Joined Jan 16, 2013 Posts 10 Reaction score 3 Sep 21, 2014 #11 Sitasahau siku nilkunya mawe yakageuka mikate na kuyala yote na nikanya amira nyeusi