Sitasahau Special Thread

Sitasahau Special Thread

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,409
Amani iwe nanyi wana JF
Ni kitu/ vitu gani ambavyo vimewahi kukutokea katika maisha yako katika umri wowote vya kufurahisha au kukuhuzunisha ,kitu ambacho mwenyewe

ukikumbuka unajikuta unacheka sana ,unatabasamu ,ama unahuzunika mwenyewe …

Hebu tu….chit- chat hapa!

Nawasilisha

FL
:A S-coffee:
 
The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.
 
Nikiwa darasa la saba mwalimu akawa anafundisha nishati. Akasema mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, nikamuuliza giza ni nini? Nilikula fimbo za kutosha.
Nikiwa sekondari nilimuuliza mwalimu mkuu, dagaa kwa kiingereza anaitwaje, nikapewa suspension ya mwezi mzima.
Walimu wa shule za upe na za kata hatari kabisa
 
Goosh!
Too Bad!
Hope this was a very alien situation!
 
Amani iwe nanyi wana JF
Ni kitu/ vitu gani ambavyo vimewahi kukutokea katika maisha yako katika umri wowote vya kufurahisha au kukuhuzunisha ,kitu ambacho mwenyewe

ukikumbuka unajikuta unacheka sana ,unatabasamu ,ama unahuzunika mwenyewe …

Hebu tu….chit- chat hapa!

Nawasilisha

FL
:A S-coffee:

Nilipo mfumania mwenzangu akiwa na mwenzake wa jinsia moja
 
The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.

pole sana, kwa namna ulivyo elezea hakika huto sahau kamwe. Mungu akufute kila chozi, akupe faraja na neema pia. Mungu ampumzishe kwa amani.
 
The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.

oooh Pole sana TF mkwe wangu na imani ulikuwa katika kipindi kigumu sana mwenyezi mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri ,
 
Mi naomba nikuPM kitu kilichonipata ambacho siwezi kukiweka hapa hadharani...Ni cha kushangaza na utata mno!

hahaha shemeji langu acha visa Nimeku PM check in box

hii itakuwa kwa isani ya watu wa..... kwetu kule
 
Nikiwa darasa la saba mwalimu akawa anafundisha nishati. Akasema mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, nikamuuliza giza ni nini? Nilikula fimbo za kutosha.
Nikiwa sekondari nilimuuliza mwalimu mkuu, dagaa kwa kiingereza anaitwaje, nikapewa suspension ya mwezi mzima.
Walimu wa shule za upe na za kata hatari kabisa

Bujibuji na vituko vyako ...te te tehh hebu niwekee kingine cha ukubwani bathi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom