Sitasahau (simulizi ya kweli)

Sitasahau (simulizi ya kweli)

Shahada ya social science Mara IT? mara umekaa bila mwaka mmoja mara miwili?
 
Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka
 
Ndipo nilipoona mwandishi kabugi.
Hii chai bhana..otherwise kuna mahala pa kurekebisha..kwanza alisema ana shahada ya Sayansi ya Jamii kisha akabadilika ana shahada ya IT..kwengine hajakosoe kutiririka sana..alaste viste..
 
Hakuna anayemvunja moyo. Tunahitaji kupata maelezo sahihi sehemu zenye ukakasi.
Kumsifia tu hata kwenye makosa n kutomsaidia Mwandishi
Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka
 
Back
Top Bottom