Sitasahau siku niliyonusurika kutolewa sadaka

Kipindi hicho wanafunzi wa kidato cha sita walikuwa wamebakisha wiki moja ili waanze mtihani wa taifa kwa ufupi jamaa alitaka niandike maswali as if ni Yale yatakayokuwa ktk mtihani wa taifa halafu anilipe laki mbili kwa mujibu wa yeye
Na endapo ningeandika wangetumia hiyo Kama ushahid shule ingefungiwa nami ningefungwa pia
Yaani kwamba uliloandika wewe ndio lingekuwa gaka kutoka shule yenu?
Ahaa nimekusoma but punguza jazba mkuu wewe ni mtu mzima.
 
Sio jazba kuna watu akili Hakuna kabisa hivi umesoma post haina ukweli si unaacha tu kusoma unafuata vitu vya ukweli unacomment ili iweje na ukizingatia Hakuna sehem uliyolazimishwa kusoma na kucomment
Yaani kwamba uliloandika wewe ndio lingekuwa gaka kutoka shule yenu?
Ahaa nimekusoma but punguza jazba mkuu wewe ni mtu mzima.
 
hao walikuwa wanataka kukubaka mpaka uchakae ungekuwa dhaifu wangekubeba kiurahisi sana
 
Ilikuwa shule gani?
Siyo lazima kujibu. Chakushukuru haikuwa siku yako mbaya...na jua kuna mtu alikuchoresha...either una ukaribu sana na mwalimu wa somo husika...au huwa unajigamba kupata maswali au wewe ni mjanja mjanja hapo shuleni.
 
Hujasoma vzr thread

Back
Top Bottom