Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Leo ilikuwa ni Birthday ya Girlfriend wangu so nimeamua kwenda kazini kwake kumsurprise.
Nilipofika nikamvizia kwa nyuma nikamziba macho Kisha nikawa nampa mabusu motomoto shingoni, ghafla nikamsikia akisema JOMONI DAVID HAPA TUPO KAZN SI USUBIRI BAADAE.
To cut story mimi naitwa Jeff 😢, hapa tumbo linanikata hatari wakuu.