Sitapanda tena mwendokasi wakati wa mvua

Hahaaa u
mimi alikuja mdada amevaa light skirt halafu ameloa na mvua akasimama mbele yangu halafu tumebanana hata kugeuza shingo haiwezekani.... nilipata tabu sana ikabidi nipitilize vituo kama viwili kutoka nilipotakiwa kushukia maana ningeshuka ingekua aibu kitu kimevimba hakitaki kusleep...
ujimbombo
 
Unapima kichefuchefu au ujauzito mkuu
Bila kupoteza muda naapa kutoppanda mwendokasi wakati huu wa mvua
Nimepanda kutoka kimara kuja Mjini kuna kadada kametota na mvua ana nywele za kubandika halafu vimetota
Zinanuka ajabu utazani mchuzi wa pweza waliooza
Karibu kutappika gari imejaa sana hakuna pa kusogea
Na wengine hawaogi wakati huu wa baridi
Mtu anatoka nyumbani hivyo hivyo wengine wamelala na waume
Ndani ya gari kunanuka Kama ngombe aliyeoza
Nasema sipandi tena mwendokasi wakati wa mvua
Je wewe umekutana na adha gani wakati huu wa mvua?
Nawasilisha mada hii
Nipo maabara nappima kichefuchefu Kama kimeniathiri
 
Unapima kichefuchefu au ujauzito mkuu
Kidume cha mbegu hakipimi ujauzito
Bali nilipima kama nimeathirika
Kama tb na kipindupindu kutokana na kumeza harufu mbaya
 
Bila kupoteza muda naapa kutoppanda mwendokasi wakati huu wa mvua
Nimepanda kutoka kimara kuja Mjini kuna kadada kametota na mvua ana nywele za kubandika halafu vimetota
Zinanuka ajabu utazani mchuzi wa pweza waliooza
Karibu kutappika gari imejaa sana hakuna pa kusogea
Na wengine hawaogi wakati huu wa baridi
Mtu anatoka nyumbani hivyo hivyo wengine wamelala na waume
Ndani ya gari kunanuka Kama ngombe aliyeoza
Nasema sipandi tena mwendokasi wakati wa mvua
Je wewe umekutana na adha gani wakati huu wa mvua?
Nawasilisha mada hii
Nipo maabara nappima kichefuchefu Kama kimeniathiri
Ukimaliza pima na mimba.

Kwetu ni mwendo wa level seat
 
Back
Top Bottom