Mwasango
Senior Member
- Aug 8, 2016
- 155
- 70
Nimetoa Dodoma kuja mwanza nimelipa nauli luxury gari unaambiwa ina choo ndani Ila tumejazwa tiketi moja wamekatiwa watu wa tatu nyingine hadi wa 4 Hewa hakuna hewa nzito watu wamekaa mpaka kwenye korido limejaaa. Huwezi hata kwenda hicho chooni watu wamesimama
Wahudumu wanazungumza lugha mbaya Kauli mbovu kwa Wateja.
Naomba sumatra stand haikagui vizuri zikagueni Kama watu wote wamekaa au gari chooni kinafanya kazi au fridge inafanya kazi ac nzima.
Iendane na Nauli unayolipa. Satco
Apple i