Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,119
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah lol! Mkuu gfsonwin kuna mtu kakuzimikia huku hata hajielewi kabisaaaa!!!! mpaka kaamua kuweka mambo hadharani. Kazi kwako utajiju!!!! Usimtese mwenzio kiasi hiki Mkuu!!! Mkuu Billie yaani umechagua kifaa cha uhakika nakuunga mkono na mguu katika chaguo lako.

Nashuru mkuu BAK nimechoka kunyanyasika kwa kukaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
uwiiii.wewe si upo katika relationship huko uraiani?

Hivi unajua kama watu wengi wapo kwenye uhusiano lakini sio kama dream wife/husband zao.Kwa kifupi ni kuwa kuna kulazimika kwa kuwa umri unaenda at the same time hatokei mpenzi wa sifa mtu azitakazo.
 
Unampenda yeye au ile avatar yake? Siamini kuwa aliye kwenye avatar ndiye mwenyewe gfsonwin. Pole lakini kwa udhaifu wa kupenda vikatuni/avatar!
 
Last edited by a moderator:
huyu atakuwa amependa kutokana na kusikia bidada kwenye kokojoleshwa ni hodari
 
vijana mnajilipua tu!
Unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona? Ukikuta ana jicho moja,jino moja bila ulimi utafanyaje?

Pia si keshakujibu huko kwenye pm? Unataka kumng'ang'aniza?

Halafu gfsonwin alishapendwa siku nyingi na mumewe! Imeandikwa ndoa na iheshimiwe na watu wote, heshimu ndoa yake
 
asante kwa kumaliza hiimambo
 
Last edited by a moderator:
Hope atajitokeza tu japo umuone kiu yako iishe kwani wana JF ni kama wanafamilia moja japo tunawasiliana through keyboards.
 
BAK mwaka ujao ni mwaka wa nyoka. Sasa inabidi uuingie ukiwa huna mazagazaga rohoni au sumu yako itakuuwa mwenyewe

:madgrin:
 
Last edited by a moderator:
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise
 
Hahahahahah lol! Mkuu gfsonwin kuna mtu kakuzimikia huku hata hajielewi kabisaaaa!!!! mpaka kaamua kuweka mambo hadharani. Kazi kwako utajiju!!!! Usimtese mwenzio kiasi hiki Mkuu!!! Mkuu Billie yaani umechagua kifaa cha uhakika nakuunga mkono na mguu katika chaguo lako.

BAK thanks for that, but wewe mwenyewe si unajua?? mtafutie wimbo mzuri wa contry music wowote ule uburudishe jamani. pia mwambie Billie asjali kuhusu kuonanan na mie. siku ya white party tutakayoifanya hapa dar aje tu tutanana na kucheza mziki na kama kawa lol!
 
Last edited by a moderator:
vijana mnajilipua tu!
Unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona? Ukikuta ana jicho moja,jino moja bila ulimi utafanyaje?

Pia si keshakujibu huko kwenye pm? Unataka kumng'ang'aniza?

Halafu gfsonwin alishapendwa siku nyingi na mumewe! Imeandikwa ndoa na iheshimiwe na watu wote, heshimu ndoa yake

always na vituko vyako. huish kunipa raha bint wewe lol!
 
Hivi unajua kama watu wengi wapo kwenye uhusiano lakini sio kama dream wife/husband zao.Kwa kifupi ni kuwa kuna kulazimika kwa kuwa umri unaenda at the same time hatokei mpenzi wa sifa mtu azitakazo.

is that so??
 
Back
Top Bottom