Sitamsahau Demu Huyu

kisiki kibichi

JF-Expert Member
Feb 14, 2019
449
500
.....Kalikuwa katoto Flani hivi kanapiga kazi maeneo ya Mbezi Juu Dar. Katoto nilikatokea way back 2008, katoto baada ya Wiki kadhaa, kakanijibu ana masharti, je nitayaweza? Dah nitajuha itakuwa Pesa Tu, nikamwambia naweza huku naogopa... Akaniambia masharti yake magumu ndo yanayofanya Asiwe na mwanaume mpaka Muda huo.
Kuja kupanga Kugegedana..tukiwa ndani ya Room
Mrembo ndo ananipa masharti. Mtoto anasema anaitunza BIKRA yake mpaka Mume wa kumuoa.... Hivyo Kama Niko tayari anipe 0713 Tu, dah nilimshangaa Sana, by then Nilishindwa kufanya chochote, but angeniambia now.......... Angefurahi na Roho yake.
Dah Nahisi nilipoteza DHAHABU kila nikimkumbuka

#MAENDELEO HAYANA CHAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili 09 Nguvu 01

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
591
1,000
Mlilie Muumba wako urudie Zama hizo, maana upande uliopp sasa ni Upande wa shetani bali kipindi hicho ulikua upande wa Malaika
 
CROSSFIRE

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
466
1,000
.....Kalikuwa katoto Flani hivi kanapiga kazi maeneo ya Mbezi Juu Dar. Katoto nilikatokea way back 2008, katoto baada ya Wiki kadhaa, kakanijibu ana masharti, je nitayaweza? Dah nitajuha itakuwa Pesa Tu, nikamwambia naweza huku naogopa... Akaniambia masharti yake magumu ndo yanayofanya Asiwe na mwanaume mpaka Muda huo.
Kuja kupanga Kugegedana..tukiwa ndani ya Room
Mrembo ndo ananipa masharti. Mtoto anasema anaitunza BIKRA yake mpaka Mume wa kumuoa.... Hivyo Kama Niko tayari anipe 0713 Tu, dah nilimshangaa Sana, by then Nilishindwa kufanya chochote, but angeniambia now.......... Angefurahi na Roho yake.
Dah Nahisi nilipoteza DHAHABU kila nikimkumbuka

#MAENDELEO HAYANA CHAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetudhihirishia kabisa Saivi ni KONKI MASTER,.... Sodoma na Gomora ya leo balaa!
 
Old story

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
2,232
2,000
.....Kalikuwa katoto Flani hivi kanapiga kazi maeneo ya Mbezi Juu Dar. Katoto nilikatokea way back 2008, katoto baada ya Wiki kadhaa, kakanijibu ana masharti, je nitayaweza? Dah nitajuha itakuwa Pesa Tu, nikamwambia naweza huku naogopa... Akaniambia masharti yake magumu ndo yanayofanya Asiwe na mwanaume mpaka Muda huo.
Kuja kupanga Kugegedana..tukiwa ndani ya Room
Mrembo ndo ananipa masharti. Mtoto anasema anaitunza BIKRA yake mpaka Mume wa kumuoa.... Hivyo Kama Niko tayari anipe 0713 Tu, dah nilimshangaa Sana, by then Nilishindwa kufanya chochote, but angeniambia now.......... Angefurahi na Roho yake.
Dah Nahisi nilipoteza DHAHABU kila nikimkumbuka

#MAENDELEO HAYANA CHAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh kula tu ni kama kula kitimoto wakati wa njaa vitan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom