Sitamani tena kuoa

Endelea nao akitokea mmoja anataka kumuweka ndani chukua weka ndani ,maisha yenyew fupi fanya kitu moyo unataka
 
watu mna roho ngumu sana duh! sijawahi kumega wanawake dizaini hiyo na haitatokea hata kama niko tungi vipi.
 
hajaja kutaka ushauri kaja kuji-boast.
 
mkuu kula maisha tu

maisha yenyewe mafupi mkuu

tembeza fimbo tu kamanda wangu
 
mkuu kula maisha tu

maisha yenyewe mafupi mkuu

tembeza fimbo tu kamanda wangu
Duuh!

Hata kama mafupi siyo ishu sana kuwa na maisha ya hivyo ndugu yangu.

Nilikuwa kwenye utumwa Mkuu
Ila kuanzia leo ninavyoandika hapa sitojihusisha tena na hiyo tabia.
 
Siyo uoga wala nini Mkuu!
Sema nahitaji niwe mbali na shetani Mkuu.

acha maneno matupu..kwani shetani ni nani mkuu? acha kuogopa usivyovijua mkuu..hakuna kitu kama shetani

kula vitu mkuu...vimeumbwa kwa ajili yetu...pombe ni kwa ajili yetu...wanawake pia ni wetu

unataka umwachie nani mkuu?
 
acha maneno matupu..kwani shetani ni nani mkuu? acha kuogopa usivyovijua mkuu..hakuna kitu kama shetani

kula vitu mkuu...vimeumbwa kwa ajili yetu...pombe ni kwa ajili yetu...wanawake pia ni wetu

unataka umwachie nani mkuu?
Mimi nimeamua kustaafu mkuu.
Ngoja niwaachie akina FREELAND!
 
Mimi nina dawa kama Upo tayar.
Kuna jamaa yangu alikuwa kama wewe alitusumbua Sana. Sasa tulichofanya tulinunua mayai mabichi tukamvizia akiwa amelewa tukayapasua na kuyamwaga kwenye tigo yake by then alikuwa amelala mtaron kesho yake amekuja kuamka kushika nyuma kaona maji maji yanatoka hakumwambia mtu kitu cc tulishangaa tu tukiwa vibandan akija akatuambia ameamua mwenyewe kuacha pombe na machangudoa so amemrudia bwana. Ninavyoongea na wewe anamaduka mawili kkoo pale anachapa kaz mbaya na ana mke na familia na nyumba nzur tu
 
Ndiyo uwezo wako wa kuwaza umefikia hapo Mkuu?
 
Kaka endelea kuwatafuna tu,huenda ukapata wife miongoni mwa hao dada poa unaowatafuna na akafanikiwa kubadili maisha yako ukarudi ktk mstari
 
Dawa ya hiyo ni 1 tu

Fanya kama ifuatavyo endapo kweli unataka ushauri na ukipewa utaufanyia kazi " Amka arfajiri fanya mazoezi kimbia fanya mazoezi ya viungo na jioni ukitoka kazini fanya kama mazoezi hiyo iwe ndo ratiba yako ya kila siku kisha leta mlejesho hapa.
 
Be blessed in advance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…