Sitamani tena kuoa



I always dance wisely my young Brother. Na kila baada ya miezi mitatu huwa napima Niko poa. Kukuaminishia hilo badae tukutane sinza mori hapa.
 
mwe!
maisha haya!
huyu nae kuna mamake amekaa huko anahesabu kuwa nna watoto watano,mmoja yupo chuo kikuu!
Haujasoma Uzi vizuri. Hiyo tabia nilianza nikiwa chuo. Sasa hivi Nina maisha yangu. Hivyo nawatafuna nitakavyo. Maana siku hizi huwa mnajiuza kwa style tofauti.

1. Wakujiuza kimya kimya.
2. Wale wa kwenda field( kujipanga na kuuza k)
3. Wale wanatumia sana madalali- hii ipo kwenye makundi ya WhatsApp sana, badoo etc.
4. Wanaojiuza kwa kupiga virungu vya hapa na pale.

Wote hao huwa nawakula sana.

Wanawake mmekuwa cheap kama nini.hamjui kuthamini miili yenu.
 
10/ day...?

Chai ya rangi hii mkuu!

brain is the beautiful part of the body.
 
TUFANYE MAHESABU HAYA DOGO!

WEWE UNAKULA KUMI KWA SIKU,
HAO NI MMMOJA MMOJA!
BUT WEWE MMOJA UMEVUA KWA WATU KUMI

sijui nani HAPO HATHAMINI MWILI WAKE!
ila na mi nimekosa kazi!
KUKAA NAJIBU MTU WA AINA YAKO!
dah!
ALL THE BEST aseee!
 
Ndio dawa pekee ila chunguu sana kuna kufukuzwa, Kuonywa, Kuombewa rehema(toba) na kuapishwa usirudie tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUFANYE MAHESABU HAYA DOGO!

WEWE UNAKULA KUMI KWA SIKU,
HAO NI MMMOJA MMOJA!
BUT WEWE MMOJA UMEVUA KWA WATU KUMI

sijui nani HAPO HATHAMINI MWILI WAKE!
ila na mi nimekosa kazi!
KUKAA NAJIBU MTU WA AINA YAKO!
dah!
ALL THE BEST aseee!
Tuachane na hayo..snowhite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…