Mkuu,Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.
Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.
Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.
Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.
Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.
Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
SGR, bwawa la umeme, daraja la JPMMkuu,
Zile koroshow za Magufuli na ununuzi wa wanasiasa wa upinzani, na utekaji wa watu, ndiyo unaita uzalendo?
Wenye akili tumekuelewa Mkuu!Wakuu, heshima kwenu!

This logical fallacy is called non sequitur.SGR, bwawa la umeme, daraja la JPM
Siyo kweli ...uongeaji feki unajulikana na uongeaji halisi kutoka moyoni unajulikana labda wewe uwe mwanamke au uwe na qkili sawa na mwanamke ndiyo utashindwa kutambua ...kwa sababu mwanamke yoyote huwa awezi kutambua kauli feki za kinafiki ...mfano mbowe ...mbowe ni muhuni tu moja kwa moja ...rostam azizi kikwete ...Nape...mpu?mb$avu zitto kabwe ...sugu ....boni yai nk hao ni baadhi tu ya makanyanga bila ya kumsahau Samia bushiri.Kumbe Kuna aina fulani uki ongea, una onekana mzalendo!.
Kuongea ni Sanaa tu, script Ina chorwa wewe una onyeshwa hisia unazo taka kuziona.
njoo huku tuku fundishe jinsi ya kulia, bila vitunguu!
Hivi mkuu kila post yako ipo na neno hilo, ina maana hauna neno jingine au ni medula kufail kufikiria zaidi masta?This logical fallacy is called non sequitur.
Nakuuliza kuhusu koroshow, ununuzi wa wapinzani na utekaji, hujibu uliloulizwa, unajibu ambacho sijakuuliza.
Umeshindwa kujibu ulichoulizwa?
Hapana.Hivi mkuu kila post yako ipo na neno hilo, ina maana hauna neno jingine au ni medula kufail kufikiria zaidi masta?
Alimteka Mama yako ? vp umesalimika na Operation za Trump. Mbeba Box ?Mkuu,
Zile koroshow za Magufuli na ununuzi wa wanasiasa wa upinzani, na utekaji wa watu, ndiyo unaita uzalendo?
This logical fallacy is called ad hominem.Alimteka Mama yako ? vp umesalimika na Operation za Trump. Mbeba Box ?
Bro unaweza tu kuandika kwa lugha rahisi kabisa, kwamba "changamoto ya kiujumbe husika au kukosa mantiki" labda kusema inayokosa mtiririko unaoutaka wewe sasa... sio kukariri neno hilo hilo kila post. We are tired of you..Hapana.
Ina maana Watanzania wengi wanafanya hiyo logical fallacy na kuirudiarudia.
Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.
Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.
You are an incurious country bumpkin.