Sitakuja kujibizana na mke wangu kamwe

Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote utakalomwambia afanye atalifanya kwa kuwa anajua yeye ndiye mwenye hati miliki.
Nitaendelea kumlinda na kumheshimu mke wangu kamwe sitajibizana na kumrushia maneno mithili ya korea na marekani
Hongera
 
Ok! time will tell. Hawa viumbe hawatabiriki omba Mungu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza kitu kimoja, ukiona argument inakuwa hot na hasira zinaanza kutawala, ukiongea nae anaongea, ukipandisha sauti nae anapandisha, nyamaza, usijibu kitu, unaweza kutoka nje ukafanya matembezi "yasiyo rasmi" ili kutuliza munkari, then ukirudi muongee

Ila ukipata mwanamke asiye na staha, mpayukaji, mropokaji na mwenye matusi, omba hekima na busara toka kwa Mungu. Sisi tuliobahatisha wanawake wasikivu na wastaarabu tukiwanyooshea mkono tutapata dhambi kubwa.
 
Na wanaume wanaojitambua huwa hawana muda wa kujibizana kabisaa.... Atanyamaza wee vikimlemea huyoo anaenda bar, au atakusikiliza weeee akilemewa utapata kibao cha uso baaasii....
 
Kupiga ina raha yake kidogo.Kuna dada nilipata kumsikia anaongea na jamaa fulani ,ngoja niwahi usinitafutie makofi kwa mume wangu bure.
Kofi moja la adabu linatia heshima
 
Nimejifunza kitu kimoja, ukiona argument inakuwa hot na hasira zinaanza kutawala, ukiongea nae anaongea, ukipandisha sauti nae anapandisha, nyamaza, usijibu kitu, unaweza kutoka nje ukafanya matembezi "yasiyo rasmi" ili kutuliza munkari, then ukirudi muongee

Ila ukipata mwanamke asiye na staha, mpayukaji, mropokaji na mwenye matusi, omba hekima na busara toka kwa Mungu. Sisi tuliobahatisha wanawake wasikivu na wastaarabu tukiwanyooshea mkono tutapata dhambi kubwa.
 
Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote utakalomwambia afanye atalifanya kwa kuwa anajua yeye ndiye mwenye hati miliki.
Nitaendelea kumlinda na kumheshimu mke wangu kamwe sitajibizana na kumrushia maneno mithili ya korea na marekani
Hongera mkuu ni jambo zuri hilo .

Tuwapende na kuwalinda wake zetu kama mboni za macho yetu.
 
Back
Top Bottom