Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Hutaki nini?[emoji848]ndio sitaki
Hutaki nini?[emoji848]ndio sitaki
Kumbe!!!mmmh!!!
sitaki kituHutaki nini?[emoji848]
kumbe nini!!!Kumbe!!!
Kitu gani?sitaki kitu
Na wewe ni Mr Sitaki...?kumbe nini!!!
kitu chochote mimi hapanaKitu gani?
naomba nisaidie kutafuta Mrs Sitaki...sawa.Na wewe ni Mr Sitaki...?
Itakubidi utafute Mrs Sitaki...mtaendana
Mtakuwa hamtaki wote...Bora utafute Mrs Nataka.naomba nisaidie kutafuta Mrs Sitaki...sawa.
naomba nisaidie kutafuta Mrs Sitaki...sawa.
Huyu kweli hataki....juzi kajileta kimwana kwake katimkia mitiniMtakuwa hamtaki wote...Bora utafute Mrs Nataka.
sitakiMtakuwa hamtaki wote...Bora utafute Mrs Nataka.
mmmh!!Huyu kweli hataki....juzi kajileta kimwana kwake katimkia mitini
Umeingiliwa peke yakoTumeingiliwa
Kwani Miss Natafuta hawezi?Mtakuwa hamtaki wote...Bora utafute Mrs Nataka.
Hapana bwana ni Mrs NatakaKwani Miss Natafuta hawezi?