Sitaki wanaume wenye pesa

So unataka ambaye ana pesa halafu hana hofu ya shetani au nimekuelewa vibaya?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya meanaume mcha Mungu ni mfu.
Mapenzi sio dini wala ibada.
Mapenzi ni mahaba toka moyoni.
Unapotaka mcha Mungu ni dalili ya kuogopa kutendwa so unataka likondoo lililozubaa
Doooh Umeandika Rubbish brother.
Kumcha Mungu hakumfanyi mwanaume kuwa likondoo lililozubaaa.

Ila Kama unaamini...hivyo well and good.its your choice to believe in whatever.
 
Doooh Umeandika Rubbish brother.
Kumcha Mungu hakumfanyi mwanaume kuwa likondoo lililozubaaa.

Ila Kama unaamini...hivyo well and good.its your choice to believe in whatever.
Sikulaumu hujanielewa hata kidogo
 
Hakuna mwanamke atakaye kuunga mkono.
Chezea pesa wewe.πŸ˜‚πŸ˜‚
Pole lakini.
 
Upumbavu wa wanawake wengi, na hapa lazima niseme tena ni wapumbavu.
Hawatumii akili zao kutambua mwanaume sahihi ni yupi, wengi wanasubiri kuchaguliwa tu kama mafungu ya nyanya.
 
Kuna mtu yashamkutaa huku halafu kuna mtu nilisikia akisema wanaume tusio na hela tuna gubu na hela zetu za mawazo kwahiyo hataki hata kutusikia.

huyu mwingine anatutaka sisi tusio na hela,nikukumbushe tu kuwa sisi tusio na hela bado gubu letu halijaisha na hela zetu ni za mawazo vile vile.

kwahiyo unapokuja upande huu jiandae kisaikolojia usije anza kulia lia tena,maana saivi vilio ni vile vile tofauti ni sauti,hawa wanalia kwa sauti ya kwanza,wale wanalia sauti ya pili,halafu mstari wa kule nyuma wao kilio chao sauti ya tatu,Kwaya imetimia.

Mapenzi bana usipojua unataka nini,Raha tupu yani Raha bin burdaniiiiiii.....Ngoja nikasake kilio kingne huko.
 
Upumbavu wa wanawake wengi, na hapa lazima niseme tena ni wapumbavu.
Hawatumii akili zao kutambua mwanaume sahihi ni yupi, wengi wanasubiri kuchaguliwa tu kama mafungu ya nyanya.
Wengi wanaangalia vitu vya kijinga sana
 
Sio wote lakini, wapo wanaume wenye pesa na wana mapenzi ya dhati + wanaheshimu wanawake wao.

Kuna wanaume wamepaukaa ila kwa kiburi na dharau hawajambo, so hizo ni tabia tu za mtu binafsi, haihusiani na hela
naona umeamua kunisimanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…