Sitaki tena mwanamke yeyote .....

JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
inaniuma ila sijui ni solve vipi

tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani wakati tunapita
kuna sauti za migunio zilikua zinatokea kwenye chumba karibu tulipokua tunapita mara
jamaa yangu akachungulia akashtuka alivyoshtuka akanifanya nami nitake kujua

usiende mbio maana nilichokiona naishia hapa .. tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk .......
hayio yalikua mapigo ya moyo maana ni hatari kwa kweli labda niwe nanunua changudoa lakini
vinginevyo sitaki demu.................kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. aaaaaaaaaaaaaaaaa

nawasilisha kwenu jwana wa jf........................
we ulisema wa nini mwingine alikuwa anawaza atampata lini, afu tabia ya kuchungulia madirisha yasiyokuhusu acha mara moja unaona sasa kwako alikuwa haguni kwa njemba hili anaguna mpaka unasikia barabarani hahaha!
Cha kufanya kama bado unampenda:
-msamehe na kumrudia -kama atakubali inaonesha huyu jamaa mziki wake sio wa kitoto lol!
-hama mtaa arifu striti kimunuka
-vuta kifaa kingine fasta utasahau haya,hili la kujichua ukivuta picha yake haitakusaidia.
 
-hama mtaa arifu kimunuka
-vuta kifaa kingine fasta utasahau haya,hili la kujichua ukivuta picha yake haitakusaidia.

Kamanda umeuwa!
jamaa kesho lazma akapime bladi presha baada ya kusoma hii post yako. Dah! jamaa anahitaji ufariji wewe umempa za uso. khaaa!
 
Hii sitaki nataka ni janga la taifa kwa jinsia zote.
Kamanda nalog out, lakini wewe ndo hauonekani bana! jana tulikutafuta sana kwenye sredi ya husninyo kule jukwaa la malalamiko lakini haukuonekana, au tayari ile viza yako ya Zimbabwe wamekupatia?
 
JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
inaniuma ila sijui ni solve vipi

tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani wakati tunapita
kuna sauti za migunio zilikua zinatokea kwenye chumba karibu tulipokua tunapita mara
jamaa yangu akachungulia akashtuka alivyoshtuka akanifanya nami nitake kujua

usiende mbio maana nilichokiona naishia hapa .. tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk .......
hayio yalikua mapigo ya moyo maana ni hatari kwa kweli labda niwe nanunua changudoa lakini
vinginevyo sitaki demu.................kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. aaaaaaaaaaaaaaaaa

nawasilisha kwenu jwana wa jf........................

Hapo kwenye marangirangi - hayo maneno yana maana tofauti sasa sijui unayaunganishaje pamoja?
Kwa majina uliyomwita hapo juu , ni dalili tosha kabisa kwamba mapenzi yenu mlikuwa mnadanganyana, toka lini soulmate akawa 'demu mmoja?'
pia, unasema 'aliyekuwa demu wako wa karibu', kwa maan aya kwamba kuna mwingine ambaye ni demu wako lakini sio wa karibu?
 
Back
Top Bottom