Sitaki tena mwanamke yeyote ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitaki tena mwanamke yeyote .....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by harakat, Oct 20, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
  inaniuma ila sijui ni solve vipi

  tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani wakati tunapita
  kuna sauti za migunio zilikua zinatokea kwenye chumba karibu tulipokua tunapita mara
  jamaa yangu akachungulia akashtuka alivyoshtuka akanifanya nami nitake kujua

  usiende mbio maana nilichokiona naishia hapa .. tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk .......
  hayio yalikua mapigo ya moyo maana ni hatari kwa kweli labda niwe nanunua changudoa lakini
  vinginevyo sitaki demu.................kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. aaaaaaaaaaaaaaaaa

  nawasilisha kwenu jwana wa jf........................
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Peleka MMU
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  poleni sana ndio ukubwa..
   
 4. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Asante kaka....................
   
 5. b

  ben genious Senior Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi ndio mada zinazokufaa wewe paka na wala sio siasa unazokimbilia huku huziwez
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Umesema aliyekuwa demu wako sasa hasira za nini? Au ufafanue kama mmeachana baada ya kushuhudia hilo tukio.
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  We umejua leo?
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Peleka kwenye mapenzi na mahusiano. Nikifungungua jukwaa la siasa natarajianikutane na siasa. Full stop
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  maneno ya hasira hayo subir baada ya muda kama utasema hayo
   
 10. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mi mwenyewe nashindwa kuelewa inamaana mliachana au?
  maana unasema aliyekuwa demu wako
  sasa moyo utakuumaje? bwana mkubwa
  na kuhusu machangu best ndo unajimaliza kabisa kimawazo na mfumo mzima wa maisha yako.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Soulmate unamwita demu???
  No wonder !!!
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmh..hili jina kwani baya?
  Unapendwa uitweje na mpenzi wako lizzy
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hawezi kutumia mengine ya kuvutia aniite jina langu tu!!!
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ulikuwa hujagundua tu, naye alikuwa ni changudoa!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
   
 17. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Jamani lizy upo.... Hebu tueleze epsod seven tayari mmh?
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ki-sweet haujambo wewe
   
 19. y

  yahaya ally New Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa bro si umeshasema (alikuwa) kwikwi za nini?
   
 20. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole lakini kila binadamu hukosea na anahitaji kusamehewa anapotubu je ameomba msamaha au hujampa chance,kuna majaribu duniani je kama aliwekewa dawa so akili yake haikuwa sawa,au jamaa alikuwa anambaka? Wewe hujawahi kabisa kutoka nje?kabisaa?
   
Loading...