Sitaki tena mwanamke bikra

Sawa mkuu
 
Wacha wakatumike mimi ntafuata baadae
 
Ni kweli ni shida wala huinjoi.Nilimpata msichana tena mkubwa tu anakinionya mapema nikasema hapahapa ndio penyewe,kidogo niitiwe polisi na huo ulikuwa mwisho wa mahusiano yetu,yaani SITAKI hata kuwasikia
 
jamaa kalipia hotel 50000 chakula 30000, usafiri 10000 afute demu kaenda kumpania miguu, ajaambulia kitu, chezea bikra wewe, lazima uwakimbie mana sio kwa hasara hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…