That's your perception na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo! Halafu sijui upstairs kwako kuna shida gani hivi MTU akikwambia hana time na wewe huelewi? Unataka mpaka upigiwe ngoma masikioni ndio uelewe?
Siwezi kuendelea kulumbana nawewe KWAHIYO POST YANGU YOYOTE KAA NAYO MBALI!!! KAMA UNA MASIKIO YA KUSIKIA SIKIA KAMA UNA AKILI YA KUELEWA ELEWA
Rakims kwenye kitu chochote kile mimi huwa naangalia nataka nini, ambacho huwa sikihitaji nakiweka kapuni! This is my point, kwa mfano kwenye post yangu kilichomchanganya yule mwanamke ni interest yangu ya kutaka kujifunza kupaa hapo ndio chanzoLabda Niseme Hivi mshana jr Kaona Kitu Kingine Tofauti Na Hiyo Mnayoona Miji Ya Ontario Hudson chuo na nini!! huwenda yeye hapa anachotafiti Ni How To Learn From TRIPLE H on How To Fly, Kujifunza Sio Vibaya Japo Kadanganya Danganya Lakini There Is Something Behind His Lies Kama Kudanganywa Watu Wanadanganywa Sana Mimi Pia Niliwahi Kudanganywa Na Mama Kuwa Nioge Twende Safari Lakini Nikaoga Hakukuwa Na Safari Nilikuwa Under Five Years.... Kwani Can You Count How Many Times Ulishawahi Kudanganywa? ni Mara Nyingi..
we Dont Need Someones Face Or Faith All We Need Is His Knowledge... Tukiona Kitu Kina Faida Tunatake Tukiona Hasara Tunamuachia Ya Ngoswe Tunamuachia Ngoswe.....!!!
"Rakims"
Rakims kwenye kitu chochote kile mimi huwa naangalia nataka nini, ambacho huwa sikihitaji nakiweka kapuni! This is my point, kwa mfano kwenye post yangu kilichomchanganya yule mwanamke ni interest yangu ya kutaka kujifunza kupaa hapo ndio chanzo
Unajua tunafeli katika maisha kwa kukosa kujua tunataka nini....Jamaa mmoja alichomwa mkuki ubavuni na mtu asiyemjua akapelekwa hospital kufika kule akakataa kuhudumiwa mpaka ajue aliyemchoma ni nani, kamchoma kwasababu gani, ni jinsia gani, kwanini akakimbia nk nk
Haya hayakuwa na faida kwake alichotakiwa ni kukubali tuba
Tukinunua tunda hatulili lote kuna vitu tunavitupa hatuvihijati! Katika maisha unaangalia unataka nini kwenye nini! Hii post imeharibika kwakuwa tumetoka kwenye lengo la post na kuanza kuleta ithibati za mitandaoni kuwa hiki ni kweli hiki so kweli huyu ni muongo huyu anamtetea huyu
Wewe kama Rakims nafikiri unaelewa nini maana ya 'middleway practice' be straight chagua tu kile unachotaka vingine vyote ni takataka ukiijua hii hutakaa ulumbane au kugombana na yeyote hata Siku moja

Huyu triple h kweli ni muongo, sijui lengo la kuidanganya JF ni nini hasa! Hiyo habari ya kusaidiwa na Membe naiweka pembeni, wengi hampendi mambo yenu kufahamika, usije nitoa roho.
Huyu triple h msanii sana.
Amesoma vitabu vya hadithi na kuangalia sinema za mazombi then anajifanya yeye ndio sterling wa hizo sinema.
በi kweli Hapa Panaitwa The Home Of Great Thinkers Lakini Wengine Wanapafanya Dampo...
"Rakims"
Ni kweli kabisa lakini ni vema tukapokea kila kitu kisha tukachagua cha kuondoka nacho! Soma changanua, chambua, kinachokufaa chukua kakifanyie kwa uelewa wako na manufaa pia
Kisicho na mwelekeo unakipotezea kwakuwa hulazimiki kupokea na kukubali kila kitu
Unamfahamu vizuri?Haaaaa ndugu unaogopa tena??FaizaFoxy hana izo bana,me naisi jf ni sehemu huru sana kimawazo ila tu usimtukane mtu au kukashifu mtu ndugu,upo huru kuongea unachokitaka lakin tu usivunje sharia za JF
Unamfahamu vizuri?
Ni walewale tu, walifika mjini wakajiita wamanyema lakini ni waha.Duuuh!! FF unapenda ligi we ni Muha nini? Tutakuloga vidole hivyo tuvikung'ute ukoma halafu tuone je utatumia vipisi?
Naam, na mkileta uongo na tukiujuwa kuwa ni uongo tutawapa wazi wazi ukweli ulivyo ili msipoteze wengi.
Na nyinyi msemao uongo muelewe kuwa kuna watu humu hawakubaliani na uongo, wakiujuwa tu, mnalo.
Duuuh!! FF unapenda ligi we ni Muha nini? Tutakuloga vidole hivyo tuvikung'ute ukoma halafu tuone je utatumia vipisi?
Sometimes I respect fools to avoid noises
NILIKUMBANA NA CHANGAMOTO KUBWA WAKATI WA BARIDI KALI!!!
Siku moja Yokho Zim alinipigia simu(siyo simu zenu za kisasa hizi, simu ya ku whistle kiganja cha mkono wa kuume kikasafirisha sauti yako) nimkute mji fulani unaitwa Churchill tulikuwa tunataka kuwadili wanawake wa kiblazili masista duu waliokuwa wakijiona matawi ya juu. Wakati huo mimi nilikuwa mjini Winnipeg umbali kama wa maili 50 hivi kutoka Churchill. Nikiwa angani anga likawa zito sana kwa sababu nyakati za baridi kuna theluji tupu, nilijisikia mzito sana nikaanguka chini kwa kishindo puuu. Kwa kuwa nilianguka ghafla na sikuwa nafahamu sana maeneo hayo nilikosa direction kabisa na walinzi wa usiku wa doria walikuja mbio kwa sababu ya kishindo. Niliamuru upepo wa kisulisuli uje kabla walinda doria hawajanifikia unichukue, ukatokea nikaondoka nao kwa kasi bila kujua naenda wapi kwa sababu nilisahau kuuambia. Nilitulia angani nikiwa tayari kwa lolote lkn kwa bahati nzuri nikatua salama nje ya viunga vya jiji la Montreal kandokando ya mto St. Lawrence. Nililazimika kujifanya mvuvi wasinistukie lakini siku hiyo sitaisahau kamwe maishani!
tuoche kuuzunguka mbuyu,hizi knowladge zote hizi za kupaa usiku,sijui kutoka nje ya mwili nk.ni kati ya zile knowladge ambazo mw anadamu haruhusiwi kuzijua au kujifunza.mara nyingi hufundwishwa kwa siri kwenye ma lodge ya ki freemason kuendana na rank zao.be warned.