Sitaki tena ajira Bandari

Dah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Toa evidence ya majina mkuu
 
Dah we acha tu mkuu.. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama.. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Mhhhh!!! utawaponza watoto wa watu
 
Hata Mimi nilikua siamini kama majiana ya database nikweli hadi na Mimi nilipopata ajira kwautaratibu huo japo hata watu nikiwaeleza hawa amini wanasema nilikua na mtu Kule utumishi.
 
Bora ungepita kimya kimya kuliko kusema kitu ambacho hufaham ukweli wake
 
Kwanini hayo majina ambayo yapo database wanayaficha sasa ?
Hapa Bongo kama kura za viongozi wakubwa wanachakachua watashindwa sekretiati ya ajira na utumishi?
Kwa hiyo hakuna watu waliopita hapo utumoshi kwa kuchakachua Mkuu?

Vice versa is True
 
Unafahamu mara ya mwisho bandari kuajiri ni lini???hata izo database hazikuwepo
 
Kwanini hayo majina ambayo yapo database wanayaficha sasa ?
Hapa Bongo kama kura za viongozi wakubwa wanachakachua watashindwa sekretiati ya ajira na utumishi?
Kwa hiyo hakuna watu waliopita hapo utumoshi kwa kuchakachua Mkuu?

Vice versa is True
ilikua ata kama ipo ila sio sana
 
Umepata kitengo gani
 
Hauko pekeako mkuu, wew chukulia kama vile umetoka kusaka ajira, umekoswa nauli, ukatembea gizani bas umekutana na wahuni wamekupora kile ulichokuwa nacho na kukitegemea kikuokoe kisha wakakupa na makofi juu in "In Kala Jeremiah's voice" Nyanyuka songa mbele usikate tamaa, kila unapoitwa interview kama upo karibu au popote na unao uwezo wa kufika bas wew nenda na ifanye kwa juhudi zote kwasabb ipo siku tutakuw recognized.
 
Haya....endelea na msako wa bikra na ivi utapata mshahara wa kugawana nao ndio itakua balaa zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], ntanunua kinu cha kuchakata papuchi, saivi nanukia harufu ya hela a.K.A pesa.

ila JF kuna wadada wazuri saiv ntakua mwema maana nmeopoa mtoto mkali JF
 
Wapo wengi sana humu wazuri ishu inakuja tu unajua kupoint???

Ushahidi wooot
e toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..

Yaani wee acha tu,

(1) Ngwanajilala Idakolyaza
(2) Maganga Nkong'wanzoka
(3) Jimumbu Ng'weshemi...
 
nshapata mkuu, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nachofikili ngoja nipate ela nkimbie nyumbani kwanza, nkapange uko
Wapo wengi sana humu wazuri ishu inakuja tu unajua kupoint???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…