Itakuwa jamaa anamjua demu wake mtu wa makuzi akaamue amtulize mapema.
Maana huwa wanakera wakianza kutambulisha mabwana. Utakuta jitu lina sura kama Benard Morrison halafu anaitwa handsome boy.
Jamaa akaone isiwe tabu atulize mambo mapema.
Mabibi harusi wa siku hizi wamechachuka hao. Zamani ilikuwa bi harusi ni mwendo wa kilio na aibu tele. Siku hizi anaingia ukumbuni huku anakata uno la amapiano.