Sitaki nizae mtoto duniani!!

Mwanzo ulisema umebadili jinsia kutoka kuwa mwanaume kuwa mwanamke na unafurahia maisha yako mapya

.
Baadae ukaja kutangaza siku yako ya mwisho kuishi duniani. Na ukaja kuaga wanaJF

.
Hatujakaa vizuri sijui ulighairi kufa, ukaja ukasema kwa mara ya kwanza umesuguliwa vizuri na ukuni hadi ukafika kileleni

.
Leo unakuja tena kusema hutaki kuleta mtoto duniani. Kwani ulivyobadili jinsia wamekuwekea na mfumo wa uzazi wa mwanamke
Unafaidika nini kuragebait watu JF?

Mara mia hawa wa multiple IDs kuliko huu upuuzi unaoufanya
 
Alidhani amelogin kwa πŸ†” nyingine kumbe ndo ile ile. Isivyobahati hawezi kufuta Uzi.

Nacheka kwa dharau HAHAHA! πŸ˜‚
 
Hakuna mwanamke hapa! Uwezekano upo mkubwa ni mwanaume mwenye hulka za kike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…