Sitaki Maswali

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
IMG-20160729-WA0106.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Watu wamelima maisha yao yote mvua hakuna na zikinyesha kodi kibao, wamachinga wanahangaika kila siku, huku wakifukuzwa kila kukicha, bodaboda wanahangaika kodi zakufa mtu na mjini hawatakiwi kuingia. Leo anakuja mtu anawaambia nyie ni wavivu fanyeni kazi, na asiyefanya kazi na asile. Kifupi Hapa kazi tu as if hawafanyi kazi. The results ni kunywa viroba tu....
 
Hivi vidude ni fake sana ndomana utakuta hata mwanamke anavipiga hata zaidi ya 10 na anakuwa vizuri kama una hela bora ujinunulie Jack Daniel au bia hapo unakuwa vizuri
 
Pesa za kwenda kulewa wanapata ila za kuendesha maisha hawana wanabaki kuilalamikia serikali sijui ndio imewatuma kulewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom