tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Mtu anakuja anakuhuliza " heti mchaga na sigara nani anatoka moshi? Huyu mtu nilimshangaa sana nikaona watanzania wengi akili zao fupi !!! Hivi kama wewe ungemjibu nini mtu kama huyu?
Hii ni thread ya kipumb.avu...!!!!!!!
Hii inashangaza...
Cha kushangaza kipi hapo
mamii huoni.....?
Basi macho yangu yanaona vibaya