Ikiwa ni jumapili tulivu nikiwa pande za mwika Moshi hapa najiliwaza na Serengeti lite nawaza mengi ila uchawi masuala ya kwa waganga sitaki tena.
Miezi miwili iliyopita nikiwa muajiiriwa wa kampuni Fulani hapa Moshi nilipata majanga Fulani ya kuisababishia kampuni hasara ya million 11 nikweli nilichukua kidogo sio kwa kiasi hicho na kutokana na watu wa accounting wanaelewa maana ya p&l.
Baada ya msala huu kiukweli nilikua sijawahi kutegemea kama itatokea siku moja Mimi niende kwa mganga wa kienyeji lakni imenibid kutokana na pressure za hapa na pale Mara kufungwa n.k ... Lakn Sikh moja mdau akanipa ushauri niende kwa mganga nikamuuliza wapi?? Kama ilivyokua ada kila mkoa kuna sehemu ni ngome kama nikiwa tanga basi watu wanadai kwamsisi,kibindu,handeni na pangani hali kadhalika Moshi rombo ndio kitovu.
Basi nilijongea hadi tarakea boda ya Tz na Kenya baada ya hapo tulipanda Noah ya kuelekea msituni rongai ndipo alipokua Mzee wa kazi nilifika nikajieleza vizuri bac jambo LA kwanza aliniambia inabid nisafishe mwili kwanza kwahiyo inaitajika kuku mweusi na baadhi ya vitu vingne gharama akasema 30000 nikampa akatafuta baada ya hapo akaniambia kuna hela ya kazi akasema shilling laki moja na hamsini nikamwambia sina Nina shilling elfu 40000 basi akanidaka kwny kwamba itabid vitu vingine nifanye mwenyew kama siongezi hela kama kupeleka vi2 njia panda na makaburini hivyo akataka 20000 nilimpa.
Lakni nimsititizia mganga kwamba nikifika ofisn nikute mambo safi lakni akasema inabid nirudi kutokana na siku hiyo ni cku ya kusafisha mwili na kesho yake atanitengenezea mvuto hata nikifika ofisin nikubalike lakni I kutokana na hili.. Itaendelea