cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Ni haki yangu niliopewa na Dini yangu!
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
kuoa wake wengi ni roho mbaya za baadhi ya wanaume sbb wanakua wanapuuzia kuwa mke wa kwanza anakua ktk maumivu makali ya moyo kuona kipenzi chake kikiwa si chake peke yake.
Hakuna mwanamke anayefurahia kuletewa mwanamke mwenzake hivyo kumuomba sijui akubali mi naona ni kama kumpa tu taarifa kuwa sasa wewe ni mavi ya kale hunifai tena nataka kuleta chombo kipya chenye mvuto zaidi jambo ambalo ni kama kisu ktk moyo wa mwanamke.
Mara nyingi mke wa kwanza anakua pale kama symbol tu lkn mapenzi yote yanahamia kwa mke mdogo huku mke mkubwa akishuhudia yote haya na kuishia kushukuru mungu kwa unyonge.
Nyie wanaume mnaofanya hivi mna roho mbaya sana,hebu jiulize ingekuwa dini imeruhusu mkeo akuletee wanaume wenzio halafu wewe unabaki upo upo tu huku ukishuhudia mapenzi yote yakihamia kwa mume mdogo mngeweza kuvumilia na kuhimili hayo maumivu yake.Jiulize kwanza ww ukiletewa mume mwenzio iwapo dini ingekua inaruhusu vipi ingekua tamu au chungu.

Sasaa Kama ni haki yako mbona unauliza ?
my dear wanaume huwa hawajui kama wanawake wana damu inayozunguka mwilini, moyo, roho na vinginevyo wao huwa wanajua mwanamke ni jiti ambalo halina feelings zozote.
Smile unanitosa mie jamani!!!!
Ni haki yangu niliopewa na Dini yangu!
Unajuwa laiti kama dini ingeruhusu kila siku niende pale makaburini au geto nyengine ningeona bora zaidi. Yanini kujifunga eti natafuta kitu fulani ambacho kinaweza kupatikana wakat nitakao na cha aina nitakayo? Ndowa ni maelekezo ambayo sote tunapoteza uhuru wetu wa kufanya tunachotaka. Ni Muumba aliyetuletea huku kupunguziwa uhuru kwa kupitia ndowa, sasa mbona hulalamiki na badala yake unafanya juu chini kuitafuta ndowa?
Iwapo tumekubali na kuzooelea huku kuondoshewa uhuru wa kufanya unavyotaka iweje sasa tuanze kujadiliana na yule aliyeweka ndowa? Iwapo unaamini kuwa ndowa ni tukio la dini basi kubali masharti yake! Kwanini wanawake wanapokea mahari na wasitowe wao?
Halafu mwenzangu kosa la kibinaadamu hakufanyi kuwa jambo zima kuwa halifai! Hivyo hujaona watu wanaishi kwa raha ndani ya ndowa za wake wawili na hujaona wenye mke mmoja wakawaacha solemba wake zao na kuhangaika na dunia?
Ndowa yangu ni kuwa nina mambo zaidi ya kumtosha mwanamke mmoja hivyo nataka kumpa bahati na mwengine zaidi ya huyu wa mwanzo!
Tukushauri nini sasa na hata hapo chini umeshasema ni haki yako umepewa na dini yako?
Ukitaka kwenda haja kubwa huwa unakuja JF kuomba ushauri?
Au unataka tu kujua ni watu wangapi wanaunga mkono ufuska? Ngoja watakushauri basi, kwani hawana hiyana manake hata mkeo akija naye watamshauri kuhusu kuongeza mume wa pili. Tofauti kidogo na wewe, yeye ni haki aliyopewa na matamanio yake
my dear wanaume huwa hawajui kama wanawake wana damu inayozunguka mwilini, moyo, roho na vinginevyo wao huwa wanajua mwanamke ni jiti ambalo halina feelings zozote.
mkuu hapo chini pa rangi ya kijani unaongea kama mtu anayejua anachofanya,sasa mbona unaomba ushauri,jambo ambalo linakufanya uonekane hujiamini amini.
hapo pa bluu,kwa nini ulimuoa mke wa kwanza ilhal si wa aina utakayo,sbb kama angekuwa wa aina utakayo sidhani ungehangaika kumtafutia mwenzake mwenye vitu sawa na vyake.
hapo pekundu,ni kweli zipo ndoa nyingi sana za mke mmoja zisizo na furaha,mfano kwa wakristo unakuta ana mke mmoja lkn nyumba ndoa na vimada kibao ndio wale wale tu pia ambao wana roho mbaya,hawana tofauti na wenye kuoa wake wengi huku wakiumiza mioyo ya wake wao wa kwanza.
Hapo hapo pekundu,sijawahi kushuhudia hata siku moja ndoa za wake wengi zenye furaha,namaanisha bi mkubwa huishi kwa majonzi sana ila furaha inakuwa kwa mume na mke mdogo.
Tuachane na biblia au quran inasema nini,tuweke dini pembeni,tuongee kama binadamu tu wa kawaida,naomba ujibu swali langu ambalo bado hujanijibu kule juu,je wewe ukiletewa mume mwenzio,wewe uwe mume mkubwa then wife ahamishie mapenzi kwa mume mdogo halafu wewe na mume mwenzio muambiwe mpendane,mheshimiane,msaidiane maana nyinyi sasa mmekua ndugu.Je kaka yangu utaweza,maisha yako yatakua the same,utakua na furaha,utayaweza maisha ya hivyo?
Naomba tu unijibu kama utaweza au la,kumbuka nimeomba ujibu kama binadamu na sio dini inasemaje.
Si ndio hapo eti "Kuongeza" kama vile anazungumzia vifaranga vya kuku!!!!!
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Sijasema kuwa nilieowa wa mwanzo hana sifa bali namaanisha dunia ni kubwa na wazuri kila siku wanazaliwa, sasa nina haja gani ya kuowa nijifunge huku naweza kila siku kubadilisha kwa mujibu wa nitakaeona ni mzuri zaidi?
Nakuhakikishia kuwa zipo ndowa ambazo zinakwenda vizuri tu na hilo la mkubwa kunyongeka zipo ndowa ambazo mkubwa hubaki na mdogo akashindwa.
Ama hili la kuletewa mtu mwengine mwenzangu nikuulize wanaokwenda nje ya ndowa au kuharibu ndowa za wenzao huwa wanaumme kwa wanaume? Iweje mwanamke kutokana na kuwa na roho nzuri (Wachilia mbali mwamme mwenye roho mbaya) akafanya jitihada za kuharibu ndowa ya mwanamke mwenzake na iweje wewe mwanamme ukijiwa kuwa kinu fulani kinatwangwa na fulani tena wa ndowa ukafanya jitihada ili nawe utwange kinu kilekile?
Mimi sioni kuwa tutaweza kuepuka Biblia au Qurqni katika ndowa, after all si nilishakwambia ndowa toka hapo ni kujinyima uhuru?