Sitaki kutukanwa, nataka nishauriwe

ongeza lakini kwanza zungumza na wa kwanza mpaka akubali
isiwe ubabe na lazima

mim naona kama ubabe ndio unaotumikaga maana haiingii akilini mwanamke akubali kuletewa mwanamke mwenzake.
Kuna jirani yetu ameoa mke wa pili,na hao wake mwanzoni wakawa wanagombana ile mbaya lkn sasa hivi wanadai wanapendana.
Wanasindikizana kila mahala,wanavaa sare lkn ajabu yule mke mkubwa anakonda kadri siku zinavyokwenda,yaani amekua kama katoto kadogo ila yule mdogo alikuja kembamba lkn sasa hivi amenenepa ile mbaya.Na yule wa kwanza amekua na uso wa huzuni tu utadhani ana depression.
 
Hakuna aja ya kuomba ruhsa toka kwa mke mkubwa. kawaida hakuna anaekubali. Pili hakuna aja ya kuangalia kipato chako maana huyo utakaeoa nae lazima aje na ubunifu wa kipato. We oa na kila kitu kitajipanga. Asili lazima itachukua nafasi.

Duh! Hii kali, kumbuka kuoa ni jambo la kidini na limeruhusiwa kwa 'wanaoweza' lakini ni lazima umpe haki yake mke wa kwanza, inabidi umwambie na akubali na sio kumficha!.Na kumbuka hii ni rukhsa si wajibu wala fardha na asili yake nikutaka kuwahifadhi mayatima na wadhaifu kwenye jamii ndio maana imesemwa "“Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.” An-Nisaa: 3
 
Mkuu kama unaweza kusoma hili graph (kuhusu sex drive ya wanaume na wanawake), zingatia kwenye maamuzi yako! (Note: x-axis, Age)
libido.jpg

Nitazingatia kuupima ushauri wako!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hakuna aja ya kuomba ruhsa toka kwa mke mkubwa. kawaida hakuna anaekubali. Pili hakuna aja ya kuangalia kipato chako maana huyo utakaeoa nae lazima aje na ubunifu wa kipato. We oa na kila kitu kitajipanga. Asili lazima itachukua nafasi.
Inshalla!
 
Wa kanza hakuridhishi? Kuwa makin ktk uchaguzi wako, usije kaa naye muda mfupi ukata kuoa watatu na pengine wa nne! Kila la kheri kaka!

Unakusudia kutosheka na nini kimojawapo kwani naamini hata nikiowa kumi hakuna atakaekamilisha matakwa yangu yote!
 
mim naona kama ubabe ndio unaotumikaga maana haiingii akilini mwanamke akubali kuletewa mwanamke mwenzake.
Kuna jirani yetu ameoa mke wa pili,na hao wake mwanzoni wakawa wanagombana ile mbaya lkn sasa hivi wanadai wanapendana.
Wanasindikizana kila mahala,wanavaa sare lkn ajabu yule mke mkubwa anakonda kadri siku zinavyokwenda,yaani amekua kama katoto kadogo ila yule mdogo alikuja kembamba lkn sasa hivi amenenepa ile mbaya.Na yule wa kwanza amekua na uso wa huzuni tu utadhani ana depression.

Shauri ya roho mbaya kwani huyo Bwana ana hicho kitu cha akiba anachompa huyo wa pili kiasi cha wa kwanza kujihisi anaonewa?
 
Duh! Hii kali, kumbuka kuoa ni jambo la kidini na limeruhusiwa kwa 'wanaoweza' lakini ni lazima umpe haki yake mke wa kwanza, inabidi umwambie na akubali na sio kumficha!.Na kumbuka hii ni rukhsa si wajibu wala fardha na asili yake nikutaka kuwahifadhi mayatima na wadhaifu kwenye jamii ndio maana imesemwa ""Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu." An-Nisaa: 3

Naam najiamini na uadilifu!

Sasa wewe ndiye unaetaka kuongeza mke, sisi tukushauri nini?

Mimi nakushauri niwe nakusaidia kuhudumia, siku ukiwa kwa mmoja yule mwingine niachie mimi ntamhudumia kwa kila kitu mpaka utaporudi.
 
ongezahata kumi ila uwahudumie kwa vitendo,halina mali. wanaotakakuolewawako wengi sana huku
 
Back
Top Bottom