Nachukia watu wa aina yako, kwani kujiunga kwake katika kipindi cha huo muda mfupi we kinakuhusu nini, unachotakiwa wewe ni kumpa ushauri au upige kimya tu...itawezekanaje kuanza na kuanza tu, mtu awe na post au like nyingi kama unavyotaka..sio issue mkuu ni bora ungekaa kimya hakuna mtu ambaye angeulizia uwepo wako..
Usichoke kabisa kwani mapenzi ni swala mtambuka maana tunaweza sema sana maana atujue upande wako kuna kiti gani ambacho ulimfanyia mpaka akawa amebadilika kiasi hicho tulia usichoke kama mungu alikupangia uwe nae basi utakuwa nawe.
Ndo mpenzi wako wa kwanza au?
Ndio maana siku hizi siombi ushauri humu, maana unaweza kufa kwa pressure kutokana na majibu utakayopata.
Acha u-maku madem kbao we unahangaika na nyma hta robo haifiki. Pga chni ucfe kwa presha dogo!
Ahsante kwa faraja yako kaka