Sitaki kutapatapa

Sitaki kutapatapa

so ukimcall ansemaje?au akicall yeye anasemaje?au umeamua kufa kisabuni.

Nikimcall ananijibu kimkato,mfano:mambo?,POA,umeamkaje mpenz wang?,vzuri tu! yan hata ananipotezea morali ya kuongea et! asubuh hii nimempigia,yan hata cjafurahia
 
Hakunaga mapenzi siku hizi jamani...mbona hamuelewi???????????????

Aaaaarrgggghhhh...aje mtu mwingine hapa aseme ameumizwa na mpenzie...ama hakika nitamserukamba.
 
Tatizo lipo hapo mkuu.
Kama una mpenzi wako Dodoma haswa kipindi hiki cha Bunge hiyo andika maumivu mkuu.
Pole sana..vumilia tu Bunge likiisha atakutafuta.

teh!teh! Na wao huingia mjengoni nini?
 
Nachelea kusema ni vigumu kutabili kuwa hana mapenzi kwa sbb ulizozieleza hp juu kwa hili swl linaitaji mjadala kt yenu nyinyi wawili. Vunja ukimya zungumza naye.

Haoneshi ushirikiano mzuri kimaongez kwan anatoa majibu yasiyo ya kukaribisha,nimempigia asubuh leo kumjulia hali yan anavoongea mpaka nkaishiwa maneno
 
Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
pole kaka chele2
 
Haoneshi ushirikiano mzuri kimaongez kwan anatoa majibu yasiyo ya kukaribisha,nimempigia asubuh leo kumjulia hali yan anavoongea mpaka nkaishiwa maneno

Usichoke kabisa kwani mapenzi ni swala mtambuka maana tunaweza sema sana maana atujue upande wako kuna kiti gani ambacho ulimfanyia mpaka akawa amebadilika kiasi hicho tulia usichoke kama mungu alikupangia uwe nae basi utakuwa nawe.
 
teh!teh! Na wao huingia mjengoni nini?
Haahaa...huwa wanaingia mjengoni mjengoni Lady Doctor. Mambo yanayoendelea huko wakati wa Bunge ni hatari. Ndio maana nimemshauri huyo mleta mada ale kobisi mpaka Bunge liishe huyo mchumba atamtafuta tena:mvutaji:
 
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.

Ulivyoshauri kiutamu... mh...............................
 
Haoneshi ushirikiano mzuri kimaongez kwan anatoa majibu yasiyo ya kukaribisha,nimempigia asubuh leo kumjulia hali yan anavoongea mpaka nkaishiwa maneno

Ndo mpenzi wako wa kwanza au?
 
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu

mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel

Ndio maana siku hizi siombi ushauri humu, maana unaweza kufa kwa pressure kutokana na majibu utakayopata.
 
Last edited by a moderator:
Haahaa...huwa wanaingia mjengoni mjengoni Lady Doctor. Mambo yanayoendelea huko wakati wa Bunge ni hatari. Ndio maana nimemshauri huyo mleta mada ale kobisi mpaka Bunge liishe huyo mchumba atamtafuta tena:mvutaji:

hahahaaa anaweza akanogewa akapiga kimya mazima, jamaa inabidi amfuate hukohuko mjengoni akatoe sera zake kwa mamsapu wake.
 
Acha u-maku madem kbao we unahangaika na nyma hta robo haifiki. Pga chni ucfe kwa presha dogo!
 
duh mzeeee ushaibiwa hapo, ila fanya hiv hakikisha unakutana naye face 2 face afu muulize tatizo ni nin mpaka anafanya mambo hayo.
 
mi pia yalikua hayohayo,nataka kutoka dar kwenda mza mpenz wangu ananiambia haija haja ya kuja huku hny hiyo pesa ya nauli bora unitumie tu huku mmmmmmh,kaka ukiona hvyo kimbiaaaaaaa
 
One Step ahead....kuwa free nako kuna raha yake....fanya maamuzi magumu ndugu otherwise jiandae kulia.
 
Hakunaga mapenzi siku hizi jamani...mbona hamuelewi???????????????

Aaaaarrgggghhhh...aje mtu mwingine hapa aseme ameumizwa na mpenzie...ama hakika nitamserukamba.

Hahahahaaaaaa mrembo yuko bize anahudhuria vipindi vya Bunge kwa mumakini mkubwa...
 
sasa kwa nini usimpigie umuulize? kama vipi chukua maamuzi magumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom