sore mkwel
Member
- Apr 29, 2013
- 33
- 5
Dahaa pole mapenz hayatabiriki cjui kwan pole mpigie muongee
uzuri wa mapenzi ni kwamba yakianza kuzingua dalili unaziona mwanzoni kabisa haya katiki ghafla kama umeme wa tanesco..jombaa hapo ni either unapigwa mzinga wa kitechnical zaidi au hakutaki lakini 60% ni hautakiwa so kama vipi kausha fanya kama hakijatokea kitu...akipotezea unaweka conclusion kwamba yameisha kilichobaki shukuru muda ulokua nae koz najua umejifunza mengi kutoka kwake so inabidi umove one na kua a better person to meet that some one special and treat her right..or whatever...!!!comprende amigos..!!!Mwenzio naumia ndugu yangu,leo nimempigia sim anadai imeharibika display! dah nimeshindwa la kufanya
mnhhhhhh nishachoka kushauri humu
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu
mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel
Kaka ukiona manyoya ujuwe ....ameliwaaaaaaaaaaaaaa. Kwani wewe unadhani ni nani anapenda kutapatapa au hata kuwa playboy???...fanya fasta mpige chini huyo mlupo atakuzingua na kukutia presha bureeeeeeee
upuuzi mtupu
mlete aje muishi wote,otherwise sie hatujui nini linalomfanya abehave namna hio
Dahaa pole mapenz hayatabiriki cjui kwan pole mpigie muongee
uzuri wa mapenzi ni kwamba yakianza kuzingua dalili unaziona mwanzoni kabisa haya katiki ghafla kama umeme wa tanesco..jombaa hapo ni either unapigwa mzinga wa kitechnical zaidi au hakutaki lakini 60% ni hautakiwa so kama vipi kausha fanya kama hakijatokea kitu...akipotezea unaweka conclusion kwamba yameisha kilichobaki shukuru muda ulokua nae koz najua umejifunza mengi kutoka kwake so inabidi umove one na kua a better person to meet that some one special and treat her right..or whatever...!!!comprende amigos..!!!
Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.
Tatizo lipo hapo mkuu.Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
Dahaa pole mapenz hayatabiriki cjui kwan pole mpigie muongee
Kaka ndo mpenzio wa kwanza nin?
Yupo chuo ama?
Kama simu iliharibika display,hana namba yako akutext hata kwa jirani..
Huyo kuna mtu anamtongoza na bibie ameshaanza kukubali au anawaza kukubali ila anaona utaumia, ila mambo yakimchachia atarudi na ailavyuu za rangi zote...!!! So anapima.
Mwombe Mungu kama ni wako atakuwa wako kama sio wako, mwambie Mungu usiumie.
Pole inauma ndo vinaitwa ''vilio mapenzini''
Tatizo lako dogo we mbahiri, sms tu hazitoshi, piga simu, nenda kamtembelee na hakikisha anakuja kukutembelea pia huko Mtwara. vinginevyo hesabu maumivu.
Ahsante sana,najiulza maswal meng pia bt MUNGU bado namshirikisha