Sitaki kurudi nyuma...

bodachogo

Member
Apr 14, 2011
89
8
kama haujui maumivu ya upweke unaweza usione umuhimu wa kunisaidia. Kifupi ni kuwa nimekuwa mtu wa kukataliwa kiasi cha kupoteza kabisa hata hamu ya kutongoza. Kuna mtu nimetokea kumzimia na tumezoeana kidogo and she z also single,i wish to get her pliiiiiiz assist me labda nijihisi furaha na faraja ya uwepo wa mapenzi duniani cz toka niachane na my first about seven years ago sijawahi tena kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi sio kwamba sihitaji ila ninatoswa mpaka basi hivi ninavyoandika yaani huu mwezi nishatoswa na mademu wawili . Tatizo langu ni nini ?coz hata sielewi ,ni maneno yangu ?,mwonekano wangu ?,hali yangu ya kiuchumi ?mbona wanaonitosa mimi wanatoka na watu ambao nawazidi sana kiuchumi (kimtazamo), pliz assist cz i m badly heart with how this love thing happen to me......sitaki kumpoteza huyu sweet lady nisaidieniiii, mbaya zaidi kuna rafiki yangu ana msululu wa mabinti kama mswati so ninapoongozana nae akisindikiza one of her girls,huwa inaniumiza nikikumbuka jinsi rejections zinavyoniandama.....
 
Duuh pole sana...hii inaleta psychological effect mwishowe. Yazekana huyo dada wa mwanzo kakuwekea zindiko, on more serious note...hali ya kiuchumi saa nyingine haiwezi kukusaidia, je unajiweka katika hali gani kimwonekano, labda pia maujanja ya kumwigia mdada ni F

Hebu tueleze unachukua muda gani mpaka unaamua kumwaga mtama kwa mdada....
 
duh pole mkaka, jichunguze ndugu yangu labda kuna kawalakin mahali.
 
No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.
 
Hii trick kweli inaweza kusaidia.....
 
duu pole sana.wakati mwengine mambo ya mapenzi haya,utajikuta unaumwa ugonjwa ambao,haujulikani.
 
No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.

lol!...pole sana Mkuu
 
Inawezekana una tabia flani flani ambazo hazivutii wadada, kama una rafiki yako wa karibu unayemwamini talk to him akwambie wapi unakosea coz we don't know u physically...
 
Inawezekana
una tabia flani
flani ambazo hazivutii wadada, kama una rafiki yako wa karibu
unayemwamini talk to him akwambie wapi unakosea coz we don't know u
physically...

ni domino effect. inaleta vicious circle. the more you fail the less
confident you become. that guarantees u more failures in future. try to break the vicious circle somehow!
 
weka picha hapa wadada waione, uone kama uopoi mdada,wadada wa jf hawalembi...
 
kama haujui maumivu ya upweke unaweza usione umuhimu wa kunisaidia. Kifupi ni kuwa nimekuwa mtu wa kukataliwa kiasi cha kupoteza kabisa hata hamu ya kutongoza. Kuna mtu nimetokea kumzimia na tumezoeana kidogo and she z also single,i wish to get her pliiiiiiz assist me labda nijihisi furaha na faraja ya uwepo wa mapenzi duniani cz toka niachane na my first about seven years ago sijawahi tena kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi sio kwamba sihitaji ila ninatoswa mpaka basi hivi ninavyoandika yaani huu mwezi nishatoswa na mademu wawili . Tatizo langu ni nini ?coz hata sielewi ,ni maneno yangu ?,mwonekano wangu ?,hali yangu ya kiuchumi ?mbona wanaonitosa mimi wanatoka na watu ambao nawazidi sana kiuchumi (kimtazamo), pliz assist cz i m badly heart with how this love thing happen to me......sitaki kumpoteza huyu sweet lady nisaidieniiii, mbaya zaidi kuna rafiki yangu ana msululu wa mabinti kama mswati so ninapoongozana nae akisindikiza one of her girls,huwa inaniumiza nikikumbuka jinsi rejections zinavyoniandama.....

mapenzi huwa ni ajali. umtakaye na ukaonesha unamtaka kweli huwezi mpata, lakini yule usiyemtaka ndiye utakayempata. nahisi una tatizo la kujiona wewe ni bora. so unapoenda kwa mwanamke, unaanza kuonesha ulivyo bora. Mwanamke mjanja atakukatalia ili asikuumize kwani anajua takuiibia halafu atakumwaga.

Unachotakiwa kufanya, kwanza unapoongea na mwanamke, kwanza kuwa simple, usioneshe kuwa ukimkosa utaathirika, jiamini, ongea kwa kituo na kwa staha.

halafu, unapoenda kwa mwanamke, dont assume we ndo wa kwanza. wanawake wengi walishatongozwa siku nyingi, na wamesha megwa sana tu. so unapoenda kwa wanawake wa dizai hiyo ambao ni wengi, wana experience ya ,apenzi, usiende ukiamini utamwin, bali neda kama vile hutak uone watakavyojikosha.

Na usiende kwa mwanamke kuomba uzinzi, atakushitukia unataka kumwachia maradhi. tafuta mke sio mzinzi. USIZINI
 
Back
Top Bottom