Sitaki kupenda tena..

jichekee mwaya shemeji! wana balaa nakwambia, wakikukuta mpole, cku ya kwanza anataka cku hiyo hiyo ajue veins zako nyingi zinaanzia wapi, na zinaishia wapi! lol!

hahah wana tabia mbaya....lol
 
Mkuu pole sana naona bidada kakuchanganya kiasi kuwa ninaamini badala ya upadre umeandika upradi lol
 

Sielewi kama nikuhurumie au nikutukane,ahh acha niende niepuke ban.
 
the scenario is touching. lakini hii habari ya kwamba huyu mtu ana umri gani, sijui ooh ni mtoto wa shule sijui e.t.c sidhani kama ni idea nzuri kufanya hivyo. humu jamvini tumechanganyika watu wa nyumri tofauti tofauti wenye exposure tofauti na lyf style tofauti, kwaiyo mtu akileta ishu yake kama hiyo tujue kuwa yeye ameumia and we shud try addressing hayo maumivu na sio kuanza kuhojihoji.
well back to the story, bro mleta mada kwanza naomba nichukue nafasi hii kukwambia kwamba I empathize with u, pili I've got both, good news and bad news. the good news is u have just started getting exposure to women that kind, the bad news is...trust me there is mooore to come. si umeingia tena kitabuni eeh? that means possibility ya kwamba utapata kazi nzuri zaidi kuliko ile ya awali ni kubwa sana kwaiyo magoldigger kama huyo aliyekuumiza watakuwepo msururu. so brother, beware of goldiggers! kwao hapendwi mtu inapendwa pochi. mwanamke asiyeweza kukuchukulia in ur ups and ur downs HAKUFAI!!! I repeat HAKUFAI!!! Beware of GOLDIGGERS!!!
 
Hahaha, kwanza nikiangalia jinsi unavyopangilia mawazo yako na kuyaeleza inanionesha wewe ni mtu wa aina gani. Natamani kujua huko kwenye shirika la habari wewe ulikuwa uanafanya kazi gani, ama majukumu yako yalikuwa yapi coz hufananii kabisa. Inaoneka na wewe ni mtu very slow in mind, na huwezi kusoma alama za nyakati. Naomba nikuhakikishie kwamba huyo hakuwahi kuwa mpenzi wako, na isomeke hivyo. changamka kijana, dunia zaidi ya uijuavyo!! if you cant see in colors, then at-least see in black and white. !! Najua nitapata madongo humu jamvini sababu ya hii comment ila poa tu coz the truth needs be told no matter the circumstance, and at times criticism can be the best teacher. Kalaghabaho ng'wanawane, signature chini inajieleza!!
 
Teh teh teh,Nakuonea huruma bro ila inavyoonekana huyo alikukataa huko K'njaro kwakuwa hukuwa na kaz na huyo bwana anae na hakuna bikra hpo!
 
The context in your massage inaonyesha ulijiset huyo binti akufanyie hivyo. Kwa ufupi wewe ni wa kiume na siyo mwanaume.
 

tru dat kk pole sana ngoja tuzbe mianya na nyie wadada ht huruma kweli ukitendwa unalia brada God ll give u da 1 4u life keep movin
 
The context in your massage inaonyesha ulijiset huyo binti akufanyie hivyo. Kwa ufupi wewe ni wa kiume na siyo mwanaume.

Hah hah hah.... wakiume na siyo mwanaume nimeipenda mkuu, na akiweza kuielewa tafsiri yake baaaaaasssss.....
 
Hah hah hah.... wakiume na siyo mwanaume nimeipenda mkuu, na akiweza kuielewa tafsiri yake baaaaaasssss.....

mwenzake nilikula mingo kama miaka mitatu hii. Alivyojilengesha tu nikala mzigo nikatulia. Sasa hivi yeye ananipigia cm na kuniheshimu vyote vyote.
 
Mijitu mingine bwana mibwege kweli kweli.
 
Everythng hapen 4 a reasn it waznt ur choice mshukur mungu na hvyo u gt a plan f being padri yawezekana baada ya kubadilisha maamz mung kakuandalia ki2 bt we ume rush utapata mwngn utampend mpka utadhan hujawah kupenda
 
Pole sana best usijihukumu penda panapopendeka kumpenda mwanamke asiyekupenda ni sawa kupoteza muda umevumilia hata kiss hujaambulia umejitesa bure huyo alikuwa tapel angekufilisi taken care na hawa vijidudu wanawake
Khasante sana na kwasasa sitakuja kumwamini msichana hata anifanyie nn? nimejufunza na inauma sanaaa@Emma.
 
ahh Bi. Mwali bac huko Ushongo Mabaoni mnatisha..kila mwanakijiji anamiliki smartfone/ laptop..Urbanization inakua kwa kasi ajabu.
Daah!Poleni sana kama hizo laptop zinafika sahivi huko kwenu mm nakua nakuta baba anayo nilikuwa naiita gemu ya karata napewa nachezea@Abdulhalim na Bi. Mwali.
 
dah pole sana,2yrs hata kuchumu hataki,kwel na wewe ulishikwa masikio na huyo demu
siku shikwa masikio nilikuwa na mpenda na kama unaupendo waukweli hutataka kumuuzi mpenz wako na ukisha zingatia ananiambia yeye ni bikira@kalou.
 

pole sana ila shukuru mungu umeepushwa na mengi huwezi jua pengine ameathirika. Mshukuru mungu kwa yote na wala usimbembeleze mwache apiteee umri wako wa kuoa ukifika utapata mke tuu na wala sio mpenz wa kukuchezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…