sitaki kuona mwisho wake

Nimecheka bila ushirikiano na mapafu kilichotokea najua mwenyewe huku!
 
Michezo mingine ni Hatari sana
Huwa sielewi ni utafutaji wa hela au ni umasikini au ni umaarufu au ni Burudani?????????

Mwisho wake lazima ni mbaya tuuuuuuu!!!!!!!!!
 
He is going to fall in water! So no danger kama anajua kuogelea
 
Labda kavaa parachute bana loh....lakini kabla hio parachute haijafunguka atakuwa keshatua chini tayari mh....
 
Kabla hajafika chini tuanze kujadili tutamzika wapi,akishafika chini tunakusanya tunaenda kuzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…