Sitaki kuolewa

Umenikunaaa!! heri wewe umeulizwa na shangazi mie kuna mtu kanifata kabisaa eti ananishauri umri unaenda mbona siolewi nilimtoa baruu kama paka mwizi .
..japo rohoni ulikuwa unaumia, just be frank Tuya..!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnang'ang'ania sana suala la roho kuuma kulikoni? Sorry nimedandia gari kwa mbele

wala hujadandia Khantwe, ni mjadala tu na kila mtu yupo huru kuchangia..!!

Unajua ukweli unauma eeh, ukiwa na miaka 30, huna mtu wa kueleweka katika mahusiano, hakika mtu akileta swali hilo roho itauma...LAZIMA ROHO IUME..!!
 
Last edited by a moderator:
wala hujadandia Khantwe, ni mjadala tu na kila mtu yupo huru kuchangia..!!

Unajua ukweli unauma eeh, ukiwa na miaka 30, huna mtu wa kueleweka katika mahusiano, hakika mtu akileta swali hilo roho itauma...LAZIMA ROHO IUME..!!

Hahahah kama unanifanya mi mdoli kwenye mapenzi yetu kwa kuntishia et nikifika 30 single roho itaniuma u r finished teh...
 
Last edited by a moderator:

that's good for you!!! jikubali tu kubakia kuwa NUNGAYEMBE. Ila usipende kumendea waume wa wenzio!!!!
 
Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu

umeonaaah....eeeeh!!!kutwa vilingenj kutafta ndoa afu analeta za kuleta apa!
 
umeonaaah....eeeeh!!!kutwa vilingenj kutafta ndoa afu analeta za kuleta apa!
Hahhaaaaa! Acha kupotezwa na Dina, watu wanalilia ndoa za MAANA we kapange rum na FREE P uone kama hujarudi baruuuuuuuuu siku 2 nakupa! Si ndoa zote za kushonokea!

Cc Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Hahhaaaaa! Acha kupotezwa na Dina, watu wanalilia ndoa za MAANA we kapange rum na FREE P uone kama hujarudi baruuuuuuuuu siku 2 nakupa! Si ndoa zote za kushonokea!

Cc Dinazarde

Eeeeee acha hizooooooo banaaa unawadanganyaaa
 
Last edited by a moderator:
by the way kuoa au kuolewa siyo lazima. mitanzania badala ya kusaidiana economic status yenyewe yanaulizia yaje kukata mauno kwenye sherehe tu.

TEAM kwaito!
 
Hahhaaaaa! Acha kupotezwa na Dina, watu wanalilia ndoa za MAANA we kapange rum na FREE P uone kama hujarudi baruuuuuuuuu siku 2 nakupa! Si ndoa zote za kushonokea!

Cc Dinazarde

hamna mwingine anataka ile ya kwenda kuangalia mkato wa chumba au kutoa gundu,watu wanahaah lara usiskie$mi free p alizingua ndo maana#
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…