Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,128
- 54,709
We need to stop spreading it, kuwa na mmoja tu inatosha akizungua tafuta mmoja tu mwingine yani ni swala la mmoja tu mpaka tupate mwenzetu maana mahusiano ni tabiaHIV tena jamani[emoji29]
We need to stop spreading it, kuwa na mmoja tu inatosha akizungua tafuta mmoja tu mwingine yani ni swala la mmoja tu mpaka tupate mwenzetu maana mahusiano ni tabiaHIV tena jamani[emoji29]
[emoji38][emoji38][emoji38]Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.
Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
Ni kweli Mkuu....We need to stop spreading it, kuwa na mmoja tu inatosha akizungua tafuta mmoja tu mwingine yani ni swala la mmoja tu mpaka tupate mwenzetu maana mahusiano ni tabia
Dont give up, we all go through the same shit wanaumue tuna mengi tukifungua vifua vyetu ni deadbody inatembea
😂😂😂😂😂🙋Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.
Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanasema bado hujasema [emoji3][emoji3]
Ushauri wako ule wa siku Ile pm...ni kweli broo ..Kama ni wangu atakuwa wangu Wala nisitumie nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah..naona umeamua kumchoma moyo uyu jombaa 😂😂Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.
Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
Umekumbuka ehh safi, know that i always never miss nikisema jambo huwa lina kitu ndani yakeUshauri wako ule wa siku Ile pm...ni kweli broo ..Kama ni wangu atakuwa wangu Wala nisitumie nguvu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Broh, siku hizi kila kitu ni kufosi. Ukiendelea na kauli za kama ni wako, atakuwa wako tu, kuna siku utakuja gundua upo single in a relationship.Ushauri wako ule wa siku Ile pm...ni kweli broo ..Kama ni wangu atakuwa wangu Wala nisitumie nguvu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
[emoji849]Broh, siku hizi kila kitu ni kufosi. Ukiendelea na kauli za kama ni wako, atakuwa wako tu, kuna siku utakuja gundua upo single in a relationship.
🤣🤣🤣Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.
Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
Stand siendi...kasema anashukia shekilango afu atapanda daladala Hadi mbezi kwahio nimfate mbezi..Usiwe boya acha apite uko uko..ila ulivyo jinga ukute saivi upo stand una pigwa baridi kumsubiri
Ina maana una mahusiano yana mwezi na mtu ambaye yuko mbali na bila shaka hujakutana naye na ukatuma nauli aje.Nimejifunza vitu vikubwa Sana kwenye mahusiano yangu mimi na mpenzi wangu...kwanza tu nikiri mimi ni mshamba wa mapenzi...kwa sababu haya mahusiano hayana hata mwezi ila kwata nilizopigishwa ni mpelampela mwendo wa guzi match.,.ni hatari mpaka akili imekaa sawa...!
Yaani aisee mwanamke ni kiumbe hatari Sana ukimfuatilia Sana muda wowote unakufa ...kwa sababu mda namuwaza nimeona Koo linawasha na kifua Kama kinaungua moto[emoji24]
Kwanza kubabeki nilivotuma nauli juzi Hadi Leo huyu manzi yupo eti kwenye basi anasafiri tu....Mara hapatikani....ooohh Mara gari bovu limeharibika...Yani kiufupi kuanzia Jana mchana mpaka saizi sa tatu mtu haeleweki...ye ukipiga tu unaskia anasafiri.
Baada ya kummbana Sana akasema eti alipitia kwanza Arusha..wakuu mambo ni mengi Sana hapa hatakuyaongea ni aibu tupu...
Nilichojifunza kwanza huwezi kumzuia mwanamke kuliwa hii hata ungefanyaje ...kwa sababu Mimi ninahisia kaliwa na Sina Cha kufanya.
Pili,..hakuna sababu ya moyo kuuma hadi presha inapanda sababu kwanza Sio mke wangu...sijulikani wala yeye hajulikani kwetu.
Tatu.,, mwanaume unatakiwa hata uwe na wanawake 10 ili isitokee milipuko ya moyo
Wanawake wazuri ni kwa ajili ya kuliwa tu nakupita hivi..nimeamka kuwa mpole tu kumuacha afanye anachofanya ...roho inauma Sana..
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Mwambieni ukweli mwenzenu 😅😅
Leta no nmpokee apo shekilangoStand siendi...kasema anashukia shekilango afu atapanda daladala Hadi mbezi kwahio nimfate mbezi..
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app