Nania kawaambia ccm itashika dollar?
Nania kawaambia ccm itashika dollar?
mie mwenyewe jana nimezishika hizo dollar!Nania kawaambia ccm itashika dollar?
Nania kawaambia ccm itashika dollar?
Mimi bwana sitaki kuitwa nabii kwa hili kwa sababu nadhani kutokana na uongozi wa kifamilia,na tunaowaita wazee wa ccm wakati wa kutuchagulia rais,ila wakati taifa lina ingia mikataba mibovu tuna sahau kuna watu wazima kwa sababu mafungu ya chai yanafika...Sasa kutokana na hila za wazee kumkata jaji,na jua fika na nasema fika Bernard membe,baba yake mdogo na ridhiwani na mdogo wake j.kikwete ndie waziri mkuu anae fata....gazeti la mtanzania mwezi wa kwanza lili sema magufuli ndo raisi,na paul makonda kwenye bunge la katiba alisema samia hassani ndo atakuwa makamu rais,na mimi na sema benard membe waziri mkuu iwapo serikali ya familia ya kikwete tanzania itapita..
asante..
team jamiiforum

Nabii mimi nakupinga,mimi nakuambia waziri mkuu ajaye ni Dr.Asha Rose Migiro.hutaki unaacha.
nania kawaambia ccm itashika dollar?
Mbona Membe alishatangaza kuwa hagombei ubunge tena? Sasa huo uwaziri mkuu ataupataje?[/QUOT
Ataupata kwa sababu ccm wamebadilisha mbinu,kwamba wazuri mkuu sio tena kiongozi wa wabunge,kwa hiyo atateuliwa hata kama hana madaraka yoyote..