Sitaki kuamini!!!!!

imba hata mipasho usingizi utakuja tu.
Nalog off

Kama ulikuwa mawazoni mwangu Washawasha.... Ilinibidi niimbe mapambio yote mpaka nikapata usingizi. Niliimba hadi lile pambio la "Parapanda italia parapanda" ....

Chezeiya kukosa usingizi weye!!!
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe hujalala mimi nmelala muda huu, hapa naota ndoto kama nipo jf!
 
Kama ulikuwa mawazoni mwangu Washawasha.... Ilinibidi niimbe mapambio yote mpaka nikapata usingizi. Niliimba hadi lile pambio la "Parapanda italia parapanda" ....

Chezeiya kukosa usingizi weye!!!
ah! usifikirie kufa bi dada bado tunakuhitaji.
Nalog off
 
Mh wengine wana xstics za popo humu, night yote mpo tu?
 
nini shida my number one?

Hebu wacha kujishaua... Kwan hujui tatizo.ni nini??? Una siku ngapi hujalala humu ndani?? Tunapishana tu, nikitoka asubuhi ndio unarudi tena kubadilisha nguo, hebu ngoja niishie hapa make kamchina kangu kataharibika bure na machozi yanayodondoka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…