Sitaki kuamini hili, nisaidieni

Sitaki kuamini hili, nisaidieni

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari wapendwa,

Nimetuma maombi ya kazi kwa kila anuani niliyoipata kwenye Google, kwa kampuni za media, video na printing hapo Dar es salaam...licha ya kufollow up hata kwa simu lakini hakuna positive feedback! Position zote ambazo nina cover; Graphic designer, Video editor, Animator, Photographer na hata Social media manager, Creative duties officer, Digital coordinator....zooote hizi, na kila moja ikiwa na custom CV, Application letter na Samples of my works / Portfolio, lakini hamna anayeniita. Nimepungukiwa nini? I have a clean 2 years experience from a corporate company, utasema labda kazi sio nzuri, hebu angalia link zangu...hizi kazi sio nzuri????

Graphics Design:
Portfolio - Michael Ngusa

Motion Graphics Design/2D&3D Animation:
https://www.youtube.com/watch?v=tOfcbs5ZJQg
https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860

Video Editing:
https://www.youtube.com/watch?v=EUeP7OQ7vtk

Web Design:
Natural African Leather Products
My Blog - Michael Ngusa - Home

More shockingly, kila nikigoogle tena, post zipo na zingine ni mpya!
 
Sifa unazo ila mapambano tu, wengi wanatafuta kazi. Endelea tu hatakwa muda mrefu ipo siku utatafutwa na wengi.
 
Kukata tamaa ni dhambi kubwa. Position yako ipo wakati ukifika utaipata tu. Tambua kuwa kuna vitu vilivyo nje ya uwezo wa mwanadamu. Jambo jema ni kuwa yupo Mungu atangazaye mwisho tangu mwanzo naye hutuwazia mema siku zote.
 
Ya kwako ipo siku ikifika hata utashangaa jinsi ulivyoipata bila jasho kubwa ila kwa vile hujaijua; keep on trying, kaka yangu alipata kwenye application ya 55 sasa yuko vizuri kuliko baadhi ya wenzake waliopata haraka. Tumia muda huu kukomaa kiakili
 
Mimi naona kama wanacheza na akili zetu tu kama sio kujitangaza kibiashara kwa kuweka matangazo ya kazi kila mara.
 
Wewe endelea kusubiri kuajiliwa tu,utazungusha CV hadi kichwa kiote mvi.Mtu una nguvu na akili timamu,lakini unalialia tu,hii nchi haiko fair jiongeze mdogo wangu.
 
Haloo Michael Ngusa wewe ni mkali! Hizo demo zako zinatisha.Mtu/shirika kukuajiri ni lazima wafikirie mara mbilimbili eg huyu mtu atataka mshahara wa kiasi gani etc etc. Sipo kwenye hii industry lakini ni wazi kabisa level yako si ya kutafuta kuajiriwa ila wewe ni wa kuajiri!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hizo skills zako ni bora ujiajiri tu, mimi nipo beginner level ya kuzimaster hizo skills ulizo nazo kwa kua una 2 clean years worth of experience naamini unafahamu kivipi hiyo industry yako inavyofanya kazi na pia nakumbuka ulishawahi kuweka post ya ku revolutionize movie making in Tanzania so how are you going to revolutionize by being employed? personally napenda 3D animation, Video Making/ Editing/ motion graphics na web designing maana naamini nikimaster hivyo i have a bright future ahead of me...so think out of the box kaka...
 
Michael kama nakumbuka nimewahi kuona bango lako hapa jf ukitafuta business partner. Ulisema umeajiriwa na ulikuwa unataka kujiajiri. Pia ulisema una vifaa vyote muhimu.

Hebu tujulishe what went wrong hadi ukarudi tena kwenye kutafuta kazi?
 
Every thng happen wth a reason, so neva give up, amin kuna nafas yako Mungu anakuandalia
 
uko vizur...jaribu kuangalia ujiajiri itasaidia uweze kuajiri wengine
 
Never tire, never fail Mr.Michael you are so close to your target ila mpaka uipate target hiyo inabidi usikate tamaa
 
Back
Top Bottom