Kumwamini mwanamke ni sawasawa na kumwekea dhamana Maasai ambae hana nyumba wala makazi yoyote ya kudumu hapa mjini. Yeye anamiliki sime na shuka lake (mogolole) tu.sasa kam akili zako zimeishia hapo kuona wanawake wote sawa sasa sie tukushauri nini au tuseme nini?? endelea kusimamia hisia zako na kuamini unachokiamini
kaka uongo mtamuView attachment 518273
Huyu Jenerali alikuwa haamini mtu, yoyote aliyeingia chumbani kwake aliuliwa, kuna muda alikuwa anajifanya analia kwa maumivu na mlinzi wake yoyote aliye kuwa akiingia kumjulia hali alipigwa shaba, alisababisha vifo vya karibia watu milioni 20.
Haya mambo sio wanawake tu hata wanaume pia wapo tusihukumu upande mmoja..... Na huwezi jua huyo dada aliona vitu gani kwa huyo mwanaume ikabidi tu achukue maamuzi, wanawake wengi huwa hatuwezi kuongea hata tukiona hapa no future huwa tunafanya maamuzi kimya kimya tofauti na nyinyi huwa mnajionyesha waziwaziUsimwamini mwanamme kamwe anaweza kukucheat muda wowote na kukuacha na ukimuuliza anakwambia wewe nenda usinipangia maisha yangu na maamuzi yangu hivyo ukiambiwa unapendwa ingia mguu 1 mwingine uache nje kuepusha pressure mwamini mama aliye kuzaa kuliko hawa tunaokutana ukubwani.
Shangaa, aliemuumba tu hamuamini itakuwa yeyeAliekwambia mwanamke anaamiwa nani,??