Sitakaa nimuamini tena mwanamke

'Moto Wangu' ndo nini??Nimetoka kapa
 
Usimwamin huyo aliyekutendea ushenz ila waamini wanawake wengine kwa kuwa bado hawajakutendea mambo ya aibu
 
moto wako umekufa ganzi?
 
Yashatokea aliona huna msimamo ndugu ndio mana kaondoka sio uliyepangiwa songa mbele wewe.utapata uliepangiwa okay.
 
Mlikuwa wote chuo? Mapenzi ya chuo huishia siku ya graduation. Pole kaka.
 
Pole Mkuu ni baadhi ya wanawake ndiyo wako hivyo hawajitambui kabisa. Hasira zako zikipungua au kuisha kabisa unaweza kupenda tena na labda kupata bahati ya kukutana na mrembo anayejitambua badala ya magurunyembe.

 
ila mwanamume anaaminiwa sio?? wakuaminiwa ni mama mzazi tu ikiwa alikuwek tumboni miezi 9 akakuzaa kwa uchungu na kukulea kwa umakini hadi ukakua basi hawezi kukudhuru wala kukuumiza
Ikiwa mwanamke ameweza kutamka maneno Haya Hii ni dhahiri kuwa mwanamke hapaswi kuamiwa katika maisha ya mahusiano?

Nashukuru sana Principle yangu kutowaamini Hawa viumbe imenifanya nisiumie katika mahusiano yangu kamwe
 
Nimecheka sana eti na mimba juu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafuteni Ufalme wangu kwanza na mengine yote mtazidishiwa
 
Pole, hauko peke ako,maumivu yake unayoyapata nayaelewa hakika,kama huna moyo was chuma unaweza kufa ukaacha Mali zako wengine wakala kiurahis, na ukisema umove on ndo unakutana na MTU haelewek,kwanza hana muda na wew, hakujal yaan had nahis hasira zinapanda tena,yaan jamn mpaka sasa nikitongozwa na mwanaume simuamin halaf nakuwa namjibu kwa hasira na nakata tamaa,naanza kusema huyu ndo kama yule wait aniache zang, unaweza ukawa na kila kitu lakn ukimkosa MTU was kukupenda hata asset ulizonazo waeza on a chungu, huwa nataman kukaabar lakin nashindwa natoka hadi karibu na eneo LA bar nikiona jinsi palivyo narudi mbio, pole sana ndugu tupo weng tunaouguza vidonda vya maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…