The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
- Thread starter
-
- #41
Thanks my brother me too sikuwahi kuwaza hivi but ime happen daahUkweli mkuu mapenzi yanaumiza sana na ninatubutu kusema hayo kwasababu nimeshatimiza wiki 4 tangia niachwe na mwanamke niliyempenda na kumuamin kwa kila kitu na sikuweka siku kwamba atathubutu kunitamkia neno "mimi na weww mapenzi basi" lkn nimevumilia na sasa nimeshaanza ku- recover tena nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwanamke mwengine.
DON'T GIVE UP My brother
Mkuu your too young kuharibu mipango yako kwa kufikiria mapenzi... Tena be thankful kakuambia mapema...27 years na yeye 25 na tumedumu kwa miaka 4
Asante saana mkuu nashukuru kwa ushauri. Naamini yataisha tuuMkuu your too young kuharibu mipango yako.. Tena be thankful kakuambia mapema... " Cha msingi kwa sasa tafuta pesa tengeneza maisha yako... " Na imani kubwa kwa hapo baadae atakuja anaekupenda... Pole sana aise najua utapitia kipindi kigumu kwa sasa ila huna budi You need to let it Go...
Mkuu unafahamu watu million 2 au umekosea hapo!??
Idadi kamili haijulikani mpaka sasa kuna wengine wanasema mpaka milioni 60, wengi wameishia kukubaliana katika hiyo milioni 20 ndio maana nikaichukuaUmempendelea mkuu ni Zaidi ya milioni 30.
Dogo, Huna Mama wewe?? Huna Dada wewe? Ona haya kidogo tafadhali, Kama Ulikua unaahidi na hutekelezi Huna Sababu wala credit ya kuja kuwadhalilisha Mama zetu, wake zetu na mabinti zetu.Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote
Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji
Am totally frustrated wanawake mtu akikupenda mpende ila nashukuru am a man na I will stand like a man
Nilichoamua Mimi sitokaa nimwamini mwanamke na now days wadada I look them like trash sina mapenzi nao tena moto Wangu umekufa ganzi.
Fanyeni umalaya kwanza HD mfikie 30s mtaelewa.27 years na yeye 25 na tumedumu kwa miaka 4
Nimesema wadada mkuu sijasema wanawake.Dogo, Huna Mama wewe?? Huna Dada wewe? Ona haya kidogo tafadhali, Kama Ulikua unaahidi na hutekelezi Huna Sababu wala credit ya kuja kuwadhalilisha Mama zetu, wake zetu na mabinti zetu.
Kila Siku unapiga hadithi bila Vitendo sasa Ulitaka iweje??? Nao wana akili na utashi pia
Exactly sureeYou need a glass of water...
Kwa maana hiyo... Aliua idadi sawa na wananchi wote wa Tanzania na Chenji Inabaki...Idadi kamili haijulikani mpaka sasa kuna wengine wanasema mpaka milioni 60, wengi wameishia kukubaliana katika hiyo milioni 20 ndio maana nikaichukua