Sitakaa nimuamini tena mwanamke

Aliekwambia mwanamke anaamiwa nani,??
ila mwanamume anaaminiwa sio?? wakuaminiwa ni mama mzazi tu ikiwa alikuwek tumboni miezi 9 akakuzaa kwa uchungu na kukulea kwa umakini hadi ukakua basi hawezi kukudhuru wala kukuumiza
 
Umempendelea mkuu ni Zaidi ya milioni 30.
 
Ukweli mkuu mapenzi yanaumiza sana na ninatubutu kusema hayo kwasababu nimeshatimiza wiki 4 tangia niachwe na mwanamke niliyempenda na kumuamin kwa kila kitu na sikuweka siku kwamba atathubutu kunitamkia neno "mimi na weww mapenzi basi" lkn nimevumilia na sasa nimeshaanza ku- recover tena nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwanamke mwengine.
DON'T GIVE UP My brother
 
Akili yako ya kuzaliwa na si ya vijiweni ni muhimu sana unapokuwa na mwanamke,
Si unaongozwa na miyeyuko ya kijinga utakuja kujinyonga bure!
 
Tatizo wanaume mkiumizwa mnapenda kulalamika sana kwenye kadamnasi nyie mnafikiri wanawake hawaumizwi? Mwanamke akiumizwa hulia nakuugulia kifuani baada ya hapo anasonga mbele wanaume niwengi sana wanaumiza k sana anaweza mwambia k ngoja nimalizie kusoma nikirudi tunaoana [emoji15] [emoji15] [emoji15] siku akirudi ni anamchumba au mke kabisa hapo kapata msomi mwenzie mwenzangu namimi mshamba umeachwa njia panda uliowakataa walisha oa unabaki kujuta hivyo si wanawake bali wanaume mnatamaa sana.
 
Ukipiga msawaki,edit post yako!
Usiandike kama form6 leavers,kipi kigeni hapa jombaa?
 
Etieee Naona kuna umuhimu wa kuwa na mahakama ya mapenzi haiwezekani tukaumizana namna hii
 
Hahaha wewe kabisa na kuonywa kote kwenye biblia unamwamini mwanamke?? Ni yule wa kigamboni au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…