google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,877
Swali zuri sana. Nimeongelea mke wamtu kwa sababu ndio tatizo ambalo ni kubwa sana kwa sasa, na imekua ni kama fashion kwa vijana wanaume kutembea na wake za watu.
Kongosho unajua sitanii vile. Sio tabia nzuri hiyo acha kabisa kama unayo.
mke wa mtu sumu mimi maziwa acha uoga wewe mi siwachi walahi sema machale lazima
Hujajua utamu wake wewe,siyo wasumbufu kama wasio na waume.Yaani unajiwekea gear ya free au neutral unateremkaNajijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.
Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.
Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.
We bana usijifanye unajua sana akili ya wanawake!
Unankeeerah!
Hii namna yako ya kuandika inaudhi kwa kweli!
Uko sawa kabisa, kwenye swala la kusex maamuzi makubwa yako mikononi kwa mwanaume na si mwanamke. Hata utafiti ulionyesha asilimia kubwa ya wanawake hubakwa, wanagegedwa bila ridhaa yao, wanakubali tu kishingo upande mradi yaishe.
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.
Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.
Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.
​hahhaaaaa!!we kiboko wallah!!Tembea na mke wa ng'ombe, mtamu kweli, hutakaa ujute.
Nam mudu koligi,akitaka kujipa umaarufu tu namwambia nimuite koligi? Anakuwaje mdogo???
Nam mudu koligi,akitaka kujipa umaarufu tu namwambia nimuite koligi? Anakuwaje mdogo???
Tembea na mke wa ng'ombe, mtamu kweli, hutakaa ujute.