Sitaisahau siku ya interview

Yaani it is not a laughing matter ujue. Yaani nimesoma mstari kwa mstari nikajua umetusua?

Hapo parking ulitakiwa uanze kujishughulisha kuangalia kama ana maji ya kuoshea kioo na kama stickers ziko valid. Uangalie na spare tyre. Yaani digrii haijakusaidia baba.

Mie nipo mkuu, naisubiria tanzania ya asali na maziwa nitengeneze smoothie niuze. Kila mahali naona fursa za kumwaga.
Haahaa!!! Mkuu agiza soda umenichekesha kinoma.
Siku hizi sikuoni sana Jamvini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀 Duuh umemiua mwishoni mwa story
Bonge la punchline.

Vipaji hivi vikiendelezwa vizuri, vinaweza kutengeneza ajira vyenyewe bila ya kutegemea interview.

Kama kweli mtu anatumia miaka 4 kutafuta interview tu baada ya chuo, hata akija kupata kazi na kufanya kazi miaka 40, asilimia kumi ya muda huo wa kuwa kazini atakuwa kaitumia kutafuta kazi. Assuming hatatafuta kazi tena.

Kiuchumi, hili ni janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu umeongea kama Dada Mkubwa. Safi sana, nadhani madogo wanaosoma posti zako wanacha kujifunza.

Usinisahau basi kwenye fursa Mkuu
 


mkuu ni kweli vijana wengi tumejikuta tunapata shahada ya pili ya kutafuta kazi wakati tunaouwezo wa kutengeneza pesa kupitia mambo mbalimbali
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…