sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 572
1>unaenda omba kazi mahali unasifa zote lakini kabila lako halitakiwi.
2>unaenda kuomba kazi mahali jinsia yako inaweza kukupa kazi au kukunyima.
3>unaenda kuomba kazi mahali wazamini tena wanaofanya kazi taasisi fulani uki emaging we ni mtoto wa kwanza kwa maskini alie kusomesha.
4>unaenda kuomba kazi kwavile unatokea kanda fulani utaambiwa mjanja mjanja ,wapenda ngono,wanajiuza,wambea,story sana ,kujiremba sana.
5>unaenda kuomba kazi unaulizwa uzoefu wa miaka 5 mpaka kumi? kwani ni urais uo.
6>Lazima uwe na Elimu fulani.
7>Maswali maswali eti unastail gani ya kuvaa nguo?
8>mara ulishapata mimba ngapi ukatoa?
9> Taja matusi kumi na tano unayoyajua na unayapenda? si majaribu haya?
10> Utampa nini ______________ ukipata kazi?